Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
Jaribu bia leo. Utumbo unarudi sehemu yake ukiwa msafiii