Kwa jinsi nilivyoharisha leo, natangaza kuacha pombe aisee

Kwa jinsi nilivyoharisha leo, natangaza kuacha pombe aisee

Pombe za siku hizi ni hivyo, TBS wakishapitisha hawafatilii Tena .
Eeeeh!!? Kumbe hii kitu hata huko ipo? Sisi huku tumezoea kupambana na ile hali ya ng'ombe mmoja( mzoga)ndio hukaguliwa. Nyingine mchinjaji atajiongeza mwenyewe labda 1-2. Ile sehemu yenye muhuri wa Gvt. Inspected Carcass inauzwa mwisho kabisa.
 
Mimi napenda vinywaji vitamu vitamu hivyo napendelea kunywa nusu kreti ya flying fish hivyo majuma kadhaa nilijaaliwa hela Fulani ,nikaamua nisinywe ulanzi ikabidi nikabadili ladha ni huko nilipatwa na tumbo la kuhara baada ya usiku ule .

Mwanzo nilidhani labda ni kwa vile sijazoea kuchezesha kiuno kwa haraka maana baada ya gambe nikipata kitoto kizuri nikaenda nacho kuimalizia siku Ila mtoto alikuwa na miuno Sana kiasi Cha Mimi kuwa nazungusha kiuno kwendana naye ni hapo nikawa nasikia mlio wa bia zangu tumbo zikirindima nikahisi labda ndiyo chanzo .

Ila baada ya mpenzi Evelyn Salt na wengineo kulia kwa maajabu haya basi imenibidi nibadili mawazo kuwa sio miuno feni ya yule binti iliyonifanya na Mimi kuzungusha kiuono kiasi Cha kuzisikia bia zangu tumboni zikirindima Kama maji Bali Ni mabia niliuobugia .

Ahsanteni Sana
Bia zikirindima tumboni baada ya mauno 🤣🤣🤣🤣🙌
 
Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
Pole ukipona hutoacha pombe, mm nilkula chipsi sehemu niliharisha sana na nikasema kama ww baada ya wiki 2 nikaanza kula kama kawaida. 😂😂😂maumivu yakipungua utaanza tena usijali
 
1737144095748.jpg
 
Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
🥃is the best and loyal companion, Hizo ni ajali tu, the same eti kuwa chukia wanawake wote kwa sababu ya kutendwa tukio Moja tu, pls be honorable
 
Au ulikunywa pilsner?....ina hii issue inaweza kuwa serious hebu wewe na Evelyn Salt mtutajie bia mlizokunywa tuanze kuwa makini ukute kuna shida mahala
 
Back
Top Bottom