Kwa jinsi nilivyoharisha leo, natangaza kuacha pombe aisee

Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.

Jaribu bia leo. Utumbo unarudi sehemu yake ukiwa msafiii
 
Mkuu uraibu wowote unaomsumbua mtu ni spiritual issues, hivyo man effort itazuia tatizo la uraibu kwa mda tu na badae mtu hurejea kwenye hali hiyo tena.
Hakuna kitu kama hicho nimeachana na mazoea mengi tu kwa maamuzi binafsi na sijarudi nyuma.
 
Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
Haraka haraka hivyo ?
Hizo hasira tu, kama mtu anapo pata hasira dhidi ya mke wake.. zikipoa hasira wanakunjana
 
Mimi nimewahi kutangaza kuacha kama wewe baada ya kupoteza fahamu kwa takriban masaa 12 kisa pombe, nilikaa mwaka mmoja tu bila kuzigusa ila badae uzalendo ulinishinda.
 
Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
Tatizo siyo pombe. Tatizo ni tumbo yako iko sensitive sana.
 
Ni stori ndefu mkuu, kiufupi nilizifakamia bila kula. kvant mixer B&W mixer Desperado mixer Kili Lager mixer Cocktails n.k.n.k

You can imagine
Pole mkuu ila hizo k vant zimekaa kama sumu sijui nazionaje japo sijawahi kuzionja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…