Kwa jinsi nilivyoharisha leo, natangaza kuacha pombe aisee

Pombe za siku hizi ni hivyo, TBS wakishapitisha hawafatilii Tena .
Eeeeh!!? Kumbe hii kitu hata huko ipo? Sisi huku tumezoea kupambana na ile hali ya ng'ombe mmoja( mzoga)ndio hukaguliwa. Nyingine mchinjaji atajiongeza mwenyewe labda 1-2. Ile sehemu yenye muhuri wa Gvt. Inspected Carcass inauzwa mwisho kabisa.
 
Bia zikirindima tumboni baada ya mauno 🤣🤣🤣🤣🙌
 
Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
Pole ukipona hutoacha pombe, mm nilkula chipsi sehemu niliharisha sana na nikasema kama ww baada ya wiki 2 nikaanza kula kama kawaida. 😂😂😂maumivu yakipungua utaanza tena usijali
 
Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi kuachana na pombe kuanzia tarehe ya leo.
🥃is the best and loyal companion, Hizo ni ajali tu, the same eti kuwa chukia wanawake wote kwa sababu ya kutendwa tukio Moja tu, pls be honorable
 
Au ulikunywa pilsner?....ina hii issue inaweza kuwa serious hebu wewe na Evelyn Salt mtutajie bia mlizokunywa tuanze kuwa makini ukute kuna shida mahala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…