Magereza kuna mahala walitembeza kichapo kiukweli ffu wakasome zaidi jamaa wanapiga sijawahi kuona halafu mtaani tunawachukulia poa, lakini special force yao ni hatari hawa jamaa
Makosa yapo mengi mimi siyataji tumsubiri Sugu aje atayasema maana yalimkuta. Kubambikiwa kesi, kuweka gerezani bila sababu, biashara yake ya hotel Desideria kutaka kubomolewa bila sababu, vyombo vya dola na taasisi za serikali kulazimishwa wamhujumu bila sababu n.k kiukweli ubaya wake ni mwingi sema wanambeya siyo wepesi kupaaza kelele wanapo onewa au kuteswa au kudhulumiwa kama wachaga. SABAYA amshukuru sana Samia kumchukulia hatua mapema muda ungepita kidogo hati ya kumpeleka mahakama ya kimataifa uholanzi ingetoka. Huwezi kumuonea Mchaga ukabaki salama hata kidogo.Watwambie makosa yake Kwanza
Ww jamaa nahisi una PhD ya unafiki,leo hii ww ni wa kumsema Makonda and the like?Kuna Mtu aliniambia Siku moja kuwa ukitaka ujue Kozi ya Askari Magereza ni ngumu na inakaribia au hata Kufanana na ya Komandoo nitembelee Chuo chao.
Kwa nilivyomuona Ole Sabaya ( hasa kwa Macho yangu ya Udadisi ) nimegundua Askari Magereza wanaomchunga huko waliko wamefanya vyema mno Kazi yao ya 'Kumnyoosha' na naomba idadi yao ili niwatumie Zawadi ya Mbuzi wangu 'Wanono' Watano wachinje na wale.
Sasa bado akina Paul Makonda, Alexander Mnyeti na Albert Chalamila na ikiwapendeza Malaika wa Haki basi hata Dotto James pamoja na Bashiru Ali nao wataungana nao huko mbeleni.
Hongereni sana 'Jeshi la Magereza ' TZ.
On the flip side of a bully is the imprint of a cowardJerry Muro mkia upo tumboni zile mbwembwe zote za kishamba zimeisha
Chalamila hana ubaya ni komedian tuHebu nambie makosa ya Bwana Albert Chalamila Kwanza.
siyo ishu ya mchaga kuonewa ,ishu ni kwamba huyu jamaa alikuwa anafanya uonevu wazi wazi na unyang'anyi,angekuwa anafanya kimya kimya huyu tusingemjuaMakosa yapo mengi mimi siyataji tumsubiri Sugu aje atayasema maana yalimkuta. Kubambikiwa kesi, kuweka gerezani bila sababu, biashara yake ya hotel Desideria kutaka kubomolewa bila sababu, vyombo vya dola na taasisi za serikali kulazimishwa wamhujumu bila sababu n.k kiukweli ubaya wake ni mwingi sema wanambeya siyo wepesi kupaaza kelele wanapo onewa au kuteswa au kudhulumiwa kama wachaga. SABAYA amshukuru sana Samia kumchukulia hatua mapema muda ungepita kidogo hati ya kumpeleka mahakama ya kimataifa uholanzi ingetoka. Huwezi kumuonea Mchaga ukabaki salama hata kidogo.
Jamaa anamaanisha siyo hukumu rasmi, yaani kama vile alivyokuwa anafanya yeye mwenyeweHakuna sehemu yoyote duniani ambako mhalifu anahukumiwa kuliwa jicho au macho.
Mkuu tulia Huyu yupo kwenye list kuna mambo fulan alifanya kule meruJerry Muro mkia upo tumboni zile mbwembwe zote za kishamba zimeisha
Kufa hafii ila cha Moto atakionaWasiue tu huko gerezani!
Kila kitu siku hizi ni mtumba hadi wanawake?? Eti ni kweli??Wasiue tu huko gerezani!
Mwenyewe nimeshangaa sanaWw jamaa nahisi una PhD ya unafiki,leo hii ww ni wa kumsema Makonda and the like?
Muro arudi Yanga tuOn the flip side of a bully is the imprint of a coward
Ataliwa na wafungwa wenzie wenye ugwadu!!Hakuna sehemu yoyote duniani ambako mhalifu anahukumiwa kuliwa jicho au macho.
Naona kuna mwamba ElitwegeKuna Mtu aliniambia Siku moja kuwa ukitaka ujue Kozi ya Askari Magereza ni ngumu na inakaribia au hata Kufanana na ya Komandoo nitembelee Chuo chao.
Kwa nilivyomuona Ole Sabaya ( hasa kwa Macho yangu ya Udadisi ) nimegundua Askari Magereza wanaomchunga huko waliko wamefanya vyema mno Kazi yao ya 'Kumnyoosha' na naomba idadi yao ili niwatumie Zawadi ya Mbuzi wangu 'Wanono' Watano wachinje na wale.
Sasa bado akina Paul Makonda, Alexander Mnyeti na Albert Chalamila na ikiwapendeza Malaika wa Haki basi hata Dotto James pamoja na Bashiru Ali nao wataungana nao huko mbeleni.
Hongereni sana 'Jeshi la Magereza ' TZ.
Yupo bize na gwambina FC anapambana isishuke daraja.Asee hiv mnyeti yupo? Kanyamazaaaaa hadi nimemsahau