Kwa jinsi Ole Sabaya alivyovimba Macho, kuna Alama Usoni mwake na anajitahidi kuficha Kuchechemea Kwake niwapongeze sana Askari Magereza

Watwambie makosa yake Kwanza
Makosa yapo mengi mimi siyataji tumsubiri Sugu aje atayasema maana yalimkuta. Kubambikiwa kesi, kuweka gerezani bila sababu, biashara yake ya hotel Desideria kutaka kubomolewa bila sababu, vyombo vya dola na taasisi za serikali kulazimishwa wamhujumu bila sababu n.k kiukweli ubaya wake ni mwingi sema wanambeya siyo wepesi kupaaza kelele wanapo onewa au kuteswa au kudhulumiwa kama wachaga. SABAYA amshukuru sana Samia kumchukulia hatua mapema muda ungepita kidogo hati ya kumpeleka mahakama ya kimataifa uholanzi ingetoka. Huwezi kumuonea Mchaga ukabaki salama hata kidogo.
 
Kuna Mtu aliniambia Siku moja kuwa ukitaka ujue Kozi ya Askari Magereza ni ngumu na inakaribia au hata Kufanana na ya Komandoo nitembelee Chuo chao.

Kwa nilivyomuona Ole Sabaya ( hasa kwa Macho yangu ya Udadisi ) nimegundua Askari Magereza wanaomchunga huko waliko wamefanya vyema mno Kazi yao ya 'Kumnyoosha' na naomba idadi yao ili niwatumie Zawadi ya Mbuzi wangu 'Wanono' Watano wachinje na wale.

Sasa bado akina Paul Makonda, Alexander Mnyeti na Albert Chalamila na ikiwapendeza Malaika wa Haki basi hata Dotto James pamoja na Bashiru Ali nao wataungana nao huko mbeleni.

Hongereni sana 'Jeshi la Magereza ' TZ.
Ww jamaa nahisi una PhD ya unafiki,leo hii ww ni wa kumsema Makonda and the like?
 
Makosa yapo mengi mimi siyataji tumsubiri Sugu aje atayasema maana yalimkuta. Kubambikiwa kesi, kuweka gerezani bila sababu, biashara yake ya hotel Desideria kutaka kubomolewa bila sababu, vyombo vya dola na taasisi za serikali kulazimishwa wamhujumu bila sababu n.k kiukweli ubaya wake ni mwingi sema wanambeya siyo wepesi kupaaza kelele wanapo onewa au kuteswa au kudhulumiwa kama wachaga. SABAYA amshukuru sana Samia kumchukulia hatua mapema muda ungepita kidogo hati ya kumpeleka mahakama ya kimataifa uholanzi ingetoka. Huwezi kumuonea Mchaga ukabaki salama hata kidogo.
siyo ishu ya mchaga kuonewa ,ishu ni kwamba huyu jamaa alikuwa anafanya uonevu wazi wazi na unyang'anyi,angekuwa anafanya kimya kimya huyu tusingemjua
 
Jerry Muro mkia upo tumboni zile mbwembwe zote za kishamba zimeisha
Mkuu tulia Huyu yupo kwenye list kuna mambo fulan alifanya kule meru

Za chini ya kapet jamaa atatiwa nguvuni kama Sabaya ni suala la muda tuu

Kuna mwingine wa kule Mara ni DC nae yupo kwenye list

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mtu aliniambia Siku moja kuwa ukitaka ujue Kozi ya Askari Magereza ni ngumu na inakaribia au hata Kufanana na ya Komandoo nitembelee Chuo chao.

Kwa nilivyomuona Ole Sabaya ( hasa kwa Macho yangu ya Udadisi ) nimegundua Askari Magereza wanaomchunga huko waliko wamefanya vyema mno Kazi yao ya 'Kumnyoosha' na naomba idadi yao ili niwatumie Zawadi ya Mbuzi wangu 'Wanono' Watano wachinje na wale.

Sasa bado akina Paul Makonda, Alexander Mnyeti na Albert Chalamila na ikiwapendeza Malaika wa Haki basi hata Dotto James pamoja na Bashiru Ali nao wataungana nao huko mbeleni.

Hongereni sana 'Jeshi la Magereza ' TZ.
Naona kuna mwamba Elitwege
Michozi inamtoka

Ova
 
Back
Top Bottom