Kwa jinsi Ole Sabaya alivyovimba Macho, kuna Alama Usoni mwake na anajitahidi kuficha Kuchechemea Kwake niwapongeze sana Askari Magereza

Ww jamaa nahisi una PhD ya unafiki,leo hii ww ni wa kumsema Makonda and the like?
Nithibitishie kwa Ushahidi wa ama Threads au Posts zangu ni lini GENTAMYCINE nimewahi Kumpenda na Kumsifia Paul Christian Makonda ( japo ni mwana Simba SC Mwenzangu ) hapa JamiiForums. Nasubiri ili niweze Kuuthibitisha Upumbavu wako ninaouona sasa.
 
Kwa hiyo umeamua kutukana badala ya kunipa jibu siyo? Hapo ni dhahiri kabisa hujatumia akili yako.Vipi kwa mfano ukiluta Mimi ni baba yako?
Unaweza dhani unajibizana na Netanyau, kumbe ni farasi mmoja mwenye kiherehere.
Lakini ndo hivyo Jf imebeba kila usakala.
 
Unaweza dhani unajibizana na Netanyau, kumbe ni farasi mmoja mwenye kiherehere.
Lakini ndo hivyo Jf imebeba kila usakala.
Netanyau ndiyo nani huyo? au ni Basha wako Mkuu? Sisi tunajua kuwa kuna Mtu anaitwa Netanyahu ( alias BIBI ) ambaye ni Mbabe wa Kivita na Mtia Adabu wa Wapalestina huko Gaza Strip / West Bank ambaye nampenda na namkubali mno kwani 'characteristics' zetu kwa 99.999% ni sawa.
 
Unaweza kuta Mshikaji ni Cha pombe kinoma alafu ni Kapolisi,saa hizi kimesha piga Konyagi zake za kupima nako kanaunguruma bar!!
Police wanaweza kuwa na 'Brainiac' kama GENTAMYCINE? Si wangeringa sana tu? Mimi siyo Police bali Kazi zangu ni Tatu tu...

1. Ukulima
2. Ufugaji
3. Uvuvi
 
Magereza kuna mahala walitembeza kichapo kiukweli ffu wakasome zaidi jamaa wanapiga sijawahi kuona halafu mtaani tunawachukulia poa, lakini special force yao ni hatari hawa jamaa
wanaitwa kmkm...
mahabusu na wafungwa Wana haki zao askari magereza huwa hawapigi mtu kule Ukikuta mtu anapigwa ujue kafanya kosa kubwa sana huko ndani na hawez kupigwa mtu bila sababu kwa Hawa mahabusu kama sabaya hata kaz huwa hawafanyi kule ndan
wewe fala ulishawahi kuingia mahabusu?...kule ukileta ujuaji au ubishoo kuna wafungwa wanaitwa viherehere wanatumwa wakuchokoze....sasa ole wako umpige au umtukane kiherehere kipigo utakachokipata kutoka kwa askari ni zaidi ya mbwa koko...
 
Bado DC wa Sengerema.
 
Chalamila aliendesha operation haramu mbuga ya ruaha na kuwapora maelfu ya watu ng’ombe zao bila huruma , chalamila alibariki maafisa wanyama pori wwawaue watu kwenye bonde lile bila huruma , yako mengi
Watu mna data. Nilifikiri Chalamila ni mtakatifu ambaye kazi yake ni kupayuka kama mbweha.
 
Ndo aliembaka mama yako wakati yupo darasa la tatu na kupata mimba iliyomtoa shuleni. mimba iliyoleta sokomoko weye.
 
We Mnyarwanda, Kagame anastaafu lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…