TASK FORCE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 2,465
- 3,459
Jamaa kiukweli asomeki!!Ww jamaa nahisi una PhD ya unafiki,leo hii ww ni wa kumsema Makonda and the like?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kiukweli asomeki!!Ww jamaa nahisi una PhD ya unafiki,leo hii ww ni wa kumsema Makonda and the like?
Hakuna haja ya kuyarudia tena hayo kwani yanatia kichefuchefu. Hata uongozi wa juu unayatambua na ndio sababu aliondolewa tu na akaletwa mwingine kuchukua nafasi yake.Hebu nambie makosa ya Bwana Albert Chalamila Kwanza.
Nithibitishie kwa Ushahidi wa ama Threads au Posts zangu ni lini GENTAMYCINE nimewahi Kumpenda na Kumsifia Paul Christian Makonda ( japo ni mwana Simba SC Mwenzangu ) hapa JamiiForums. Nasubiri ili niweze Kuuthibitisha Upumbavu wako ninaouona sasa.Ww jamaa nahisi una PhD ya unafiki,leo hii ww ni wa kumsema Makonda and the like?
Kwa huyo hata 'Wakimdedisha' ni sahihi.Wasiue tu huko gerezani!
Je, unakuwa nae ' 24/7 ' huko Gerezani?Sabaya hajapigwa labda apugwe na wafungwa lkn sio askari
Unaweza dhani unajibizana na Netanyau, kumbe ni farasi mmoja mwenye kiherehere.Kwa hiyo umeamua kutukana badala ya kunipa jibu siyo? Hapo ni dhahiri kabisa hujatumia akili yako.Vipi kwa mfano ukiluta Mimi ni baba yako?
Huko Yanga SC ndiyo hawamtaki kabisa.Muro arudi Yanga tu
Mpotezee!!Kwa hiyo umeamua kutukana badala ya kunipa jibu siyo? Hapo ni dhahiri kabisa hujatumia akili yako.Vipi kwa mfano ukiluta Mimi ni baba yako?
Netanyau ndiyo nani huyo? au ni Basha wako Mkuu? Sisi tunajua kuwa kuna Mtu anaitwa Netanyahu ( alias BIBI ) ambaye ni Mbabe wa Kivita na Mtia Adabu wa Wapalestina huko Gaza Strip / West Bank ambaye nampenda na namkubali mno kwani 'characteristics' zetu kwa 99.999% ni sawa.Unaweza dhani unajibizana na Netanyau, kumbe ni farasi mmoja mwenye kiherehere.
Lakini ndo hivyo Jf imebeba kila usakala.
Nimempa Sindano ambayo inamtibu tu.Mpotezee!!
Police wanaweza kuwa na 'Brainiac' kama GENTAMYCINE? Si wangeringa sana tu? Mimi siyo Police bali Kazi zangu ni Tatu tu...Unaweza kuta Mshikaji ni Cha pombe kinoma alafu ni Kapolisi,saa hizi kimesha piga Konyagi zake za kupima nako kanaunguruma bar!!
Ukijamba tu Mimi huwa Nakunya kabisa.Dah! Wee Jamaa sometimes unatokaga nje ya msitari kabisa hadi nashaangaaga!!
wanaitwa kmkm...Magereza kuna mahala walitembeza kichapo kiukweli ffu wakasome zaidi jamaa wanapiga sijawahi kuona halafu mtaani tunawachukulia poa, lakini special force yao ni hatari hawa jamaa
wewe fala ulishawahi kuingia mahabusu?...kule ukileta ujuaji au ubishoo kuna wafungwa wanaitwa viherehere wanatumwa wakuchokoze....sasa ole wako umpige au umtukane kiherehere kipigo utakachokipata kutoka kwa askari ni zaidi ya mbwa koko...mahabusu na wafungwa Wana haki zao askari magereza huwa hawapigi mtu kule Ukikuta mtu anapigwa ujue kafanya kosa kubwa sana huko ndani na hawez kupigwa mtu bila sababu kwa Hawa mahabusu kama sabaya hata kaz huwa hawafanyi kule ndan
Dah! Wee umeshindikana haya kwa heri![emoji3][emoji38][emoji3][emoji38]Ukijamba tu Mimi huwa Nakunya kabisa.
Bado DC wa Sengerema.Kuna Mtu aliniambia Siku moja kuwa ukitaka ujue Kozi ya Askari Magereza ni ngumu na inakaribia au hata Kufanana na ya Komandoo nitembelee Chuo chao.
Kwa nilivyomuona Ole Sabaya ( hasa kwa Macho yangu ya Udadisi ) nimegundua Askari Magereza wanaomchunga huko waliko wamefanya vyema mno Kazi yao ya 'Kumnyoosha' na naomba idadi yao ili niwatumie Zawadi ya Mbuzi wangu 'Wanono' Watano wachinje na wale.
Sasa bado akina Paul Makonda, Alexander Mnyeti na Albert Chalamila na ikiwapendeza Malaika wa Haki basi hata Dotto James pamoja na Bashiru Ali nao wataungana nao huko mbeleni.
Hongereni sana 'Jeshi la Magereza ' TZ.
Watu mna data. Nilifikiri Chalamila ni mtakatifu ambaye kazi yake ni kupayuka kama mbweha.Chalamila aliendesha operation haramu mbuga ya ruaha na kuwapora maelfu ya watu ng’ombe zao bila huruma , chalamila alibariki maafisa wanyama pori wwawaue watu kwenye bonde lile bila huruma , yako mengi
Ndo aliembaka mama yako wakati yupo darasa la tatu na kupata mimba iliyomtoa shuleni. mimba iliyoleta sokomoko weye.Netanyau ndiyo nani huyo? au ni Basha wako Mkuu? Sisi tunajua kuwa kuna Mtu anaitwa Netanyahu ( alias BIBI ) ambaye ni Mbabe wa Kivita na Mtia Adabu wa Wapalestina huko Gaza Strip / West Bank ambaye nampenda na namkubali mno kwani 'characteristics' zetu kwa 99.999% ni sawa.
We Mnyarwanda, Kagame anastaafu lini?Kuna Mtu aliniambia Siku moja kuwa ukitaka ujue Kozi ya Askari Magereza ni ngumu na inakaribia au hata Kufanana na ya Komandoo nitembelee Chuo chao.
Kwa nilivyomuona Ole Sabaya ( hasa kwa Macho yangu ya Udadisi ) nimegundua Askari Magereza wanaomchunga huko waliko wamefanya vyema mno Kazi yao ya 'Kumnyoosha' na naomba idadi yao ili niwatumie Zawadi ya Mbuzi wangu 'Wanono' Watano wachinje na wale.
Sasa bado akina Paul Makonda, Alexander Mnyeti na Albert Chalamila na ikiwapendeza Malaika wa Haki basi hata Dotto James pamoja na Bashiru Ali nao wataungana nao huko mbeleni.
Hongereni sana 'Jeshi la Magereza ' TZ.
Kudhihaki Vifo vya Watu ( hasa Wazazi tena Mama ) Kwako Wewe ni sawa au sahihi? Pumbavu.Cc invisible wa nini sasa? pambana mwenyewe kama mwanaume sio unalialia kama dem