peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kwani JPM yeye ndo nani!?
Huwa aliyetuibia 1.5t!
MunguMtu wenu huyo alishindwa ht kuajiri tu for 6yrs.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani JPM yeye ndo nani!?
Huwa aliyetuibia 1.5t!
MunguMtu wenu huyo alishindwa ht kuajiri tu for 6yrs.
Tubinafsisha na tra? Ikulu? Jwtz? Mawizara?Lkn tuambiane ukweli tu, hapo bandarini hakukuwa na tija yoyote. Ilikuwa ni wizi mwanzo mwisho.
Na kelele nyingi zinapigwa kwa na wanufaika wa wizi kwa kuwa wanajua Sasa mkate wao kushney.
Tubinafsisha na tra? Ikulu? Jwtz? Mawizara?
Onyesheni palipo pabovu ili huyu mama msikivu na serikali yake warekebishe. Simple!Hatupingi ubinafsishaji, tunapinga mkataba mbovu, baasi!
Mkataba wowote wenye tija ni wazi kabisa utaongeza ufanisi ktk bandari zetu.
Siku za usoni TRA tutaibinafsisha. Lkn ikulu na jwtz hapana.Tubinafsisha na tra? Ikulu? Jwtz? Mawizara?
Mkataba una ubovu gani?Hatupingi ubinafsishaji, tunapinga mkataba mbovu, baasi!
Mkataba wowote wenye tija ni wazi kabisa utaongeza ufanisi ktk bandari zetu.
Viongozi wetu wametuambia muarabu wa Dubai aliyeuziwa bandari zetu zote za Tanganyika atahakikisha anaongeza mapato ya kutosha, ajira za kudumu maradufu na mapato shazi hivyo tumuunge mkono.
Sasa kwa kuwa CCM imekuwa chama cha kudumu hapa Tanzania na kwa zaidi ya miaka 60 ya umiliki na uendeshaji wa serikali ya Tanzania bado maendeleo yamekuwa ya kusuasua, ni wakati muafaka sasa kwa CCM ikajiuza kwa muarabu wa Dubai ili maendeleo yaje chap chap.
Makada wa CCM tengenezeni mkataba chap chap, mambo yaende haraka ili mkutano mkutano mkuu wa CCM uitishwe kwa dharula ili muarabu wa Dubai achukue chama haraka iwezekanavyo, maendeleo yaje haraka haraka.
CCM Oyeee!
Hili siyo la kuchelewesha, naunga mkono hoja. CCM ina vitegauchumi ilivyopora Kwa Wananchi kama viwanja na TVs, wawape mkataba mara moja ili Watanganyika wajutie kuwakataa DIPIIWELIDI.Viongozi wetu wametuambia muarabu wa Dubai aliyeuziwa bandari zetu zote za Tanganyika atahakikisha anaongeza mapato ya kutosha, ajira za kudumu maradufu na mapato shazi hivyo tumuunge mkono.
Sasa kwa kuwa CCM imekuwa chama cha kudumu hapa Tanzania na kwa zaidi ya miaka 60 ya umiliki na uendeshaji wa serikali ya Tanzania bado maendeleo yamekuwa ya kusuasua, ni wakati muafaka sasa kwa CCM ikajiuza kwa muarabu wa Dubai ili maendeleo yaje chap chap.
Makada wa CCM tengenezeni mkataba chap chap, mambo yaende haraka ili mkutano mkutano mkuu wa CCM uitishwe kwa dharula ili muarabu wa Dubai achukue chama haraka iwezekanavyo, maendeleo yaje haraka haraka.
CCM Oyeee!
Sasa kama Serikali imeshindwa kukamata hao wezi walioujumu hiyo bandari wanauhalari gani wa kuendesha nchi!na kama wameshindwa kukamata wezi wa Tanganyika wataweza kukamata Warabu?Samia ahache visingizio nchi imemshinda kuongoza,kama ameshindwa kuweka watu sahihi kwenye bandari ili waweze kuongeza mapato anaweza nini?Hakuna Mtu yeyeto wakukusanyia ela kukuletea eti wewe umekunja nne unakula bata,Rais Samia anapenda vya bure bure tu hataki kusumbua kichwa kama mtangulizi wake,ajue bure inagarama zake.Lkn tuambiane ukweli tu, hapo bandarini hakukuwa na tija yoyote. Ilikuwa ni wizi mwanzo mwisho.
Na kelele nyingi zinapigwa kwa na wanufaika wa wizi kwa kuwa wanajua Sasa mkate wao kushney.
Unataka kusema serikali yetu ni dhaifu kiasi kwamba haiwezi kusimamia na kuwajibisha ubadhirifu? Wizara nyingi pia Hakuna tija, nazo tuzikodishe?Lkn tuambiane ukweli tu, hapo bandarini hakukuwa na tija yoyote. Ilikuwa ni wizi mwanzo mwisho.
Na kelele nyingi zinapigwa kwa na wanufaika wa wizi kwa kuwa wanajua Sasa mkate wao kushney.
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Hii mpya sasaViongozi wetu wametuambia muarabu wa Dubai aliyeuziwa bandari zetu zote za Tanganyika atahakikisha anaongeza mapato ya kutosha, ajira za kudumu maradufu na mapato shazi hivyo tumuunge mkono.