Kwa jinsi waarabu (DP) wanavyosifiwa na viongozi wetu, ni vyema sasa waarabu wakainunua na CCM pia

Lkn tuambiane ukweli tu, hapo bandarini hakukuwa na tija yoyote. Ilikuwa ni wizi mwanzo mwisho.

Na kelele nyingi zinapigwa kwa na wanufaika wa wizi kwa kuwa wanajua Sasa mkate wao kushney.
Tubinafsisha na tra? Ikulu? Jwtz? Mawizara?
 
Hatupingi ubinafsishaji, tunapinga mkataba mbovu, baasi!
Mkataba wowote wenye tija ni wazi kabisa utaongeza ufanisi ktk bandari zetu.
Onyesheni palipo pabovu ili huyu mama msikivu na serikali yake warekebishe. Simple!
 
Tena msukuma awe jina la kwanza wampeleke aurabuni wamfanye kama mdoli wa kuchekesha watoto wa kiarabu mjingi uyu
 
Naunga mkono hoja ✔️
 

Kwani viongozi wanaoipigia debe na waliokubali kuwapa bandari ni kutoka chama gani?
 
Ndugu mbona kama ulikuwa usinigizini.....tangu lini CCM wakawa wazalendo kwa taifa hili.......hilo la kununuliwa wala halina mashaka na pengine na fedha wameshagawana......si unaona kila mmoja kashika zumari anasifia popote alipo kwa nafasi yake............na si unaona hasira zao dhidi ya wasiokubaliana hoja zao.............wewe unadhani CCM wamepata lini uzalendo huo na upendo huo wa agape dhdi yetu...??
 
Kama jana hujaandamana bora ukae kimya tu,hatutaki mashujaa wa mitandaoni
 
Hili siyo la kuchelewesha, naunga mkono hoja. CCM ina vitegauchumi ilivyopora Kwa Wananchi kama viwanja na TVs, wawape mkataba mara moja ili Watanganyika wajutie kuwakataa DIPIIWELIDI.
 
Lkn tuambiane ukweli tu, hapo bandarini hakukuwa na tija yoyote. Ilikuwa ni wizi mwanzo mwisho.

Na kelele nyingi zinapigwa kwa na wanufaika wa wizi kwa kuwa wanajua Sasa mkate wao kushney.
Sasa kama Serikali imeshindwa kukamata hao wezi walioujumu hiyo bandari wanauhalari gani wa kuendesha nchi!na kama wameshindwa kukamata wezi wa Tanganyika wataweza kukamata Warabu?Samia ahache visingizio nchi imemshinda kuongoza,kama ameshindwa kuweka watu sahihi kwenye bandari ili waweze kuongeza mapato anaweza nini?Hakuna Mtu yeyeto wakukusanyia ela kukuletea eti wewe umekunja nne unakula bata,Rais Samia anapenda vya bure bure tu hataki kusumbua kichwa kama mtangulizi wake,ajue bure inagarama zake.
 
Lkn tuambiane ukweli tu, hapo bandarini hakukuwa na tija yoyote. Ilikuwa ni wizi mwanzo mwisho.

Na kelele nyingi zinapigwa kwa na wanufaika wa wizi kwa kuwa wanajua Sasa mkate wao kushney.
Unataka kusema serikali yetu ni dhaifu kiasi kwamba haiwezi kusimamia na kuwajibisha ubadhirifu? Wizara nyingi pia Hakuna tija, nazo tuzikodishe?

Kila sehemu serikalini hakuna panapofanya vizuri, halmashauri ndio kumeoza kabisa. Napo sijui tuwakodishe watu?
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Hii mpya sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…