Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Refer Rage aliwahi kutoa jina gani kwa hao jamaa, then utaelewa tuKinacho nikera Tz huwa hatuwezi kujadili hoja bila vijembe vya Simba na Yanga hio tweet haihusiani utani wa jadi kwanini usi jikite kwenye mada
Na Luc hakukosea kuwafananisha nyie na kima na mbwa kokoRefer Rage aliwahi kutoa jina gani kwa hao jamaa, then utaelewa tu
Refer Lucy pia alisemaje kuhusu utopoloRefer Rage aliwahi kutoa jina gani kwa hao jamaa, then utaelewa tu
Alisema hao utopolo hawana elimu,wanazomea zomea tu kama kima na wanabwekabweka kama mbwakoko na kweli ndiyo walivyoRefer Lucy pia alisemaje kuhusu utopolo
Rufaa ya Morison cas imeishia wapi kwanzaMsijali mkifukuzwa bado mna nafasi kukata rufaa kule CAS, sisi tutawachangia mkate rufaa.
Mechi ya kwanza Sudan wachezaji wa 5 wa El Mereikh walikutwa na Corona kuna maajabu gani kwa wao kukutwa wachezaji wao 8 kukutwa nq CoronaMkuu Africa hii kitu inataka kutumika kama mtaji kwann team wenyeji hua hazina kesi ya Covid
Watu ni wapumbavu hawawezi hata ku reason wanakuwa emotional_ driven. Ishu ya kupima corona simba hawahusiki wanaopima corona ni maafisa wa CAF, So naona hao Al Merekk wanatafta pa kujiliwazia.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Utopolo haiwapi furaha mashabiki zake so furaha imeamia upande wa pili kuiombe simba mabaya,, vyura ni kama mwanaume alikosa dem sasa wanataka wafanywe wao...Watopolo wana upumbavu flani wa kizamani sana uliopitwa na wakati
Hili zwazwa linawalisha watopolo matangopori na wasivyokuwa na akili wanaamini tuRufaa ya Morison cas imeishia wapi kwanza
Ute kama ute yan!ukiingia kwenye page yao ya facebook zile comments za kiarabu bonyeza translate all. aisee asilimia 90 ya washabiki wao wanaawambia waache visingizo vya kijinga halafu kuna shida ya uongozi mana comments nyingi zinawakataa viongozi wao kuna mmoja kauliza tumesajili wachezaji 40 wa nini kama wakikosekana 8 tunalalamika hivi
Mbumbumbu wanabwabwaja tu humu, wanailalamikia Yanga badala ya kupambana na source ya hiyo taarifa[emoji42][emoji23]Ute kama ute yan!View attachment 1731345
Ya Morrison mlikoliwa hela imeishia wapi?Msijali mkifukuzwa bado mna nafasi kukata rufaa kule CAS, sisi tutawachangia mkate rufaa.
Iyo maabara iliyo wapima nadhan iko TZ ,,Kwa akili yako hao caf unafikili watatumiwa majib ya hao wachezaji kutoka maabara ya Tz yakiwa NegativeUte kama ute yan!View attachment 1731345
CAF wamewaambia El Merreikh kuwa ushahidi wao haujajitosheleza wapeleke nyaraka za ziada kutoka maabaraUte kama ute yan!View attachment 1731345
Hamjui kuwa hiyo ni kashfa kubwa, inachafua brand na kufanya muangaliwe kwa jicho la 3!Iyo maabara iliyo wapima nadhan iko TZ ,,Kwa akili yako hao caf unafikili watatumiwa majib ya hao wachezaji kutoka maabara ya Tz yakiwa Negative
CAF wamewaambia El Merreikh kuwa ushahidi wao haujajitosheleza wapeleke nyaraka za ziada kutoka maabara
Ikumbukwe kuna tetesi kuwa hawa jamaa walifoji majibu sasa sijajua watapeleka nini
Nb:
Sio una post post afu unaanza kucheka hujui hata kinacho endelea hao wasudan inabid wapeleke majibu kutoka maabara ya Tz kwa akili yakingedere unafikili huo ubavu wanao ? Kesi ishaisha ivo plus mashibiki wa huko Sudan wako wanawatukana viongoz wao kwa hiki kitendo