Kwa jirani kunaungua!!!!!

Kwa jirani kunaungua!!!!!

Refer Rage aliwahi kutoa jina gani kwa hao jamaa, then utaelewa tu
Na Luc hakukosea kuwafananisha nyie na kima na mbwa koko
FB_IMG_1611053199150.jpg
 
Wakati makamu wa rais wa upotolo anaongea upuuzi nikawa najiuliza hivi upotolo hawakuona mtu mwingine mwenye akili wakamchagua ila kwa post yako nimegundua ujinga ni sehemu ya sifa ya kuwa shabiki au kiongozi wa upotolo
 
ukiingia kwenye page yao ya facebook zile comments za kiarabu bonyeza translate all. aisee asilimia 90 ya washabiki wao wanaawambia waache visingizo vya kijinga halafu kuna shida ya uongozi mana comments nyingi zinawakataa viongozi wao kuna mmoja kauliza tumesajili wachezaji 40 wa nini kama wakikosekana 8 tunalalamika hivi
Watu ni wapumbavu hawawezi hata ku reason wanakuwa emotional_ driven. Ishu ya kupima corona simba hawahusiki wanaopima corona ni maafisa wa CAF, So naona hao Al Merekk wanatafta pa kujiliwazia.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Watopolo wana upumbavu flani wa kizamani sana uliopitwa na wakati
Utopolo haiwapi furaha mashabiki zake so furaha imeamia upande wa pili kuiombe simba mabaya,, vyura ni kama mwanaume alikosa dem sasa wanataka wafanywe wao...
 
ukiingia kwenye page yao ya facebook zile comments za kiarabu bonyeza translate all. aisee asilimia 90 ya washabiki wao wanaawambia waache visingizo vya kijinga halafu kuna shida ya uongozi mana comments nyingi zinawakataa viongozi wao kuna mmoja kauliza tumesajili wachezaji 40 wa nini kama wakikosekana 8 tunalalamika hivi
Ute kama ute yan!
Screenshot_2021-03-22-07-31-42.jpg
 
Iyo maabara iliyo wapima nadhan iko TZ ,,Kwa akili yako hao caf unafikili watatumiwa majib ya hao wachezaji kutoka maabara ya Tz yakiwa Negative
CAF wamewaambia El Merreikh kuwa ushahidi wao haujajitosheleza wapeleke nyaraka za ziada kutoka maabara

Ikumbukwe kuna tetesi kuwa hawa jamaa walifoji majibu sasa sijajua watapeleka nini

Nb:
Sio una post post afu unaanza kucheka hujui hata kinacho endelea hao wasudan inabid wapeleke majibu kutoka maabara ya Tz kwa akili yakingedere unafikili huo ubavu wanao ? Kesi ishaisha ivo plus mashibiki wa huko Sudan wako wanawatukana viongoz wao kwa hiki kitendo
 
Hamjui kuwa hiyo ni kashfa kubwa, inachafua brand na kufanya muangaliwe kwa jicho la 3!
 
Back
Top Bottom