Iyo maabara iliyo wapima nadhan iko TZ ,,Kwa akili yako hao caf unafikili watatumiwa majib ya hao wachezaji kutoka maabara ya Tz yakiwa Negative
CAF wamewaambia El Merreikh kuwa ushahidi wao haujajitosheleza wapeleke nyaraka za ziada kutoka maabara
Ikumbukwe kuna tetesi kuwa hawa jamaa walifoji majibu sasa sijajua watapeleka nini
Nb:
Sio una post post afu unaanza kucheka hujui hata kinacho endelea hao wasudan inabid wapeleke majibu kutoka maabara ya Tz kwa akili yakingedere unafikili huo ubavu wanao ? Kesi ishaisha ivo plus mashibiki wa huko Sudan wako wanawatukana viongoz wao kwa hiki kitendo