Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
-
- #81
Mkuu hizi ni akili za usiku..???????? Hizi ni akili za kawaida au kuna mvinyo kidogo kwa brain? Maana nasikia kondakta kamwaga bia huko ni balaaa
Me nipo kwenye kakibanda kangu tangu saa moja,hapa napambana na mawazo tu.Heri yenu hata mnatamamiana mimi hata kushtuka hamna vile mambo yamekuwa mabaya kwangu.Mkuu hizi ni akili za usiku..
Alafu mkuu hata wewe fanya uwahi kurd hom
Daaah pole sana mkuu..Me nipo kwenye kakibanda kangu tangu saa moja,hapa napambana na mawazo tu.Heri yenu hata mnatamamiana mimi hata kushtuka hamna vile mambo yamekuwa mabaya kwangu.
Pascal mayele,jf hakuna mtu kama huyoKwamba wewe una akili sana kuliko pascal mayele
Nabaki kutafta tena helaWeeeh jamaa mbona una mawazo ya mambo hayo sana aiseee 😳😁😳😳😳😳
Ukitoa hayo mawazo ya show unabaki na nini kichwani mkuu
Potelea poteWallah utakufa ww alaaah
Umfikishe na kileleNafika nae alafu mda kama huu takua naeogelea dadek zangu
True , kidogo tu ila i was very lonely???????? Hizi ni akili za kawaida au kuna mvinyo kidogo kwa brain? Maana nasikia kondakta kamwaga bia huko ni balaaa
Pole jamani, lakini umetoboa mpaka asubuhi peke yakoTrue , kidogo tu ila i was very lonely
We dogo kiazi kweli, sasa huyo aunt Dorry hamkumbatiani??
Mi nilidhani naumwa aisee, joto kali kishenzi.Dar ni joto ila kuna special cases kama Buguruni......kuna mwamba juzi alinichekesha anasema siku hizi bro hili joto watu wa Buguruni tunalala halafu usiku tunatoka nje unaoga na kupumzika 😀
Bana weee typing suggestions error hizoPascal mayele,jf hakuna mtu kama huyo
Zanzibar huko ndo mda wote mnawaza mapenzi tyyKaribu Zanzibar usiku wa leo tulikua tuna mvua na bado wingu lipo
Ahahahha mkuu kumekuchaNabaki kutafta tena hela