Kwa joto la Dar es Salaam lakini kuna watu utakuta wamekumbatiana

Kwa joto la Dar es Salaam lakini kuna watu utakuta wamekumbatiana

Me nipo kwenye kakibanda kangu tangu saa moja,hapa napambana na mawazo tu.Heri yenu hata mnatamamiana mimi hata kushtuka hamna vile mambo yamekuwa mabaya kwangu.
Daaah pole sana mkuu..
Naomba niseme tuu sometimes yes... Hv usikate tamaaa kuwa na despline tuu mkuu
 
Dar ni joto ila kuna special cases kama Buguruni......kuna mwamba juzi alinichekesha anasema siku hizi bro hili joto watu wa Buguruni tunalala halafu usiku tunatoka nje unaoga na kupumzika 😀
 
Dar ni joto ila kuna special cases kama Buguruni......kuna mwamba juzi alinichekesha anasema siku hizi bro hili joto watu wa Buguruni tunalala halafu usiku tunatoka nje unaoga na kupumzika 😀
Mi nilidhani naumwa aisee, joto kali kishenzi.
Ninapoish kuna upepo sana hivyo situmii AC wala feni ni kufungua madirisha tu, ila kwa juzi ikawa holaa
 
Back
Top Bottom