Kufikisha nchi uchumi wa kati ndiyo kuharibu nchi?We ulitaka wabaki kufanya nini? Si walikwiba na kuharibu uchumi wa Nchi?
Ni watatoka wote kwani nyie mliwaacha wote waliokuwa awamu ya 4?
Ukae na majitu ambayo hayaendani na wewe kwa ajili gani?
Mwisho naona mnatapatapa sasa ,ni hivi hakuna mtu aache kutatua kero za wananchi eti ahangaike sijui kufuta sijui huo upumbaymliuweza nyie watu wa visasi kwenye awamu yenu sisi tunachapa kazi nyie endeleeni kutapatapa kama mfa maji na kazeni maana 2035 sio kesho.
Ulitegemea uje na Sera ya kutetea ushoga alafu watanzania wakuchague ?
Hovyo kabisa wewe
Kufikisha nchi uchumi wa kati ndiyo kuharibu nchi?
Nimesikitishwa sana baada ya kutonywa na mtu kwamba eti wote waliokuwa kwenye top positions kwenye serikali ya awamu ya tano wanatakiwa kuondolewa!
Lakini nawahakikishia wote wenye hiyo mipango ovu kuwa watafanikiwa kuwatoa kwenye nafasi zao lakini kamwe hawatafanikiwa kuwatoa ndani ya mioyo ya watanzania na pia hawatafanikiwa kamwe kufuta kazi zao walizowafanyia watanzania.
Ni kweli Dk Kalemani siyo waziri tena lakini si Bwawa la nyerere lipo na linaendelea kujengwa kule Rufiji?
Nani hajui kuwa enzi ya Dk Kalemani majenereta yalikosa soko? Nani hajui kuwa enzi zake wananchi waliacha kuuziwa nguzo za umeme?
Ni kweli Dk Tito Mwinuka siyo MD wa Tanesco tena lakini si ndiyo ameifanya Tanesco iache kuagiza nguzo nje ya nchi na kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguzo zao wenyewe za zege,? pia na kuacha kutegemea ruzuku serikalini?
Ni kweli Dk Chamriho hayupo wizara ya ujenzi ,lakini si ndiyo amesaini na kutujengea flyover kila sehemu? Ina maana ukimtoa wananchi watasahau kuwa Mfugale na Kijazi flyovers zimesimamiwa na yeye?
Tunawaonya tu watoeni wote alafu tuone hizo kura za kuwafanya mshinde mtaenda kuomba wapi.
Kinachombeba mtu ni utendaji wa kuwafanyia kazi wananchi na siyo porojo zenu.
We kenge nini , uchumi wa kati nchi ikifika toka enzi za mkwere,kilichokuwepo ni brobation period miaka yote baada ya JK uchumi umekua at decreasing rate ndio maana utakuta per Capita income iko olmost stagnant kuanzia aliyopokea hadi iliyopo sasa..Kufikisha nchi uchumi wa kati ndiyo kuharibu nchi?
Katiba mpya ndio dawa ambayo itaweka mihimili na vyombo vya usimamizi huru na kuwajibika. Bila hivyo kila rais atakuja na proriries zake, watu wake, interests zake binafsi na za kundi lililombeba. Ndio mamma JPM aliingia na wajomba na wengine wa kanda yake. Mpunguzieni rais madaraka, imarisha bunge, promote demokrasia, tengeneza tume huru ya uchaguzi, fuateni sheria za nchi nakila kitu kitakaa vzr.
Kweli mkuu ila hao wanaogombea fito wanasahau kuwa mfa maji akosi kutapatapa.Kwani kuna nini jamani? Wote tunajenga nyumba moja kwanini tugombee nguzo?!
Sidhani Kama Kuna kugombea fito...ila nadhani Kuna kukomoana na baadhi wanaona ni wakati wa Kula Sasa...Mimi siko serikalini lakini naziona dalili ya mwelekeo wa a weak government of all time.Kwani kuna nini jamani? Wote tunajenga nyumba moja kwanini tugombee nguzo?!
Vita ndani ya nyumba na umbeya/majungu kutegemewa kumwajibisha mtendaji ni kuwa vipofu wa jana, leo na kesho.Nimesikitishwa sana baada ya kutonywa na mtu kwamba eti wote waliokuwa kwenye top positions kwenye serikali ya awamu ya tano wanatakiwa kuondolewa!
Lakini nawahakikishia wote wenye hiyo mipango ovu kuwa watafanikiwa kuwatoa kwenye nafasi zao lakini kamwe hawatafanikiwa kuwatoa ndani ya mioyo ya watanzania na pia hawatafanikiwa kamwe kufuta kazi zao walizowafanyia watanzania.
Ni kweli Dk Kalemani siyo waziri tena lakini si Bwawa la nyerere lipo na linaendelea kujengwa kule Rufiji?
Nani hajui kuwa enzi ya Dk Kalemani majenereta yalikosa soko? Nani hajui kuwa enzi zake wananchi waliacha kuuziwa nguzo za umeme?
Ni kweli Dk Tito Mwinuka siyo MD wa Tanesco tena lakini si ndiyo ameifanya Tanesco iache kuagiza nguzo nje ya nchi na kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguzo zao wenyewe za zege,? pia na kuacha kutegemea ruzuku serikalini?
Ni kweli Dk Chamriho hayupo wizara ya ujenzi ,lakini si ndiyo amesaini na kutujengea flyover kila sehemu? Ina maana ukimtoa wananchi watasahau kuwa Mfugale na Kijazi flyovers zimesimamiwa na yeye?
Tunawaonya tu watoeni wote alafu tuone hizo kura za kuwafanya mshinde mtaenda kuomba wapi.
Kinachombeba mtu ni utendaji wa kuwafanyia kazi wananchi na siyo porojo zenu.
Huna akili kabisaaaWe kenge nini , uchumi wa kati nchi ikifika toka enzi za mkwere,kilichokuwepo ni brobation period miaka yote baada ya JK uchumi umekua at decreasing rate ndio maana utakuta per Capita income iko olmost stagnant kuanzia aliyopokea hadi iliyopo sasa..
Kwa hiyo mlichofaulu ni kumantain kipindi cha matazamio tuu.
Kazi yenu ya uharibifu mnayoijua ni hii hapa,majizi [emoji116]
View attachment 1956179
View attachment 1956180
View attachment 1956181
View attachment 1956182
Baba angekuwa nazo asingezezaa dumuzi kama weweHuna akili kabisaaa
Wanafikiri hao wanaowapigia kura ni hiyo miccm inayojipendekeza kupata uteuzi wa mama. Mama anadanganya akisema yeye na magufuli ni kitu kimoja. Mtu akiwa mteuzi wa magufuli alisikika akimkashifu na kula njama dhidi yake ndio akatemwa. Leo mama anampa wizara nyeti kama nishati. Kwanza kwa ujuzi na uzoefu gani. Wazalendo wenye Phd wanatolewa wanawekwa wenye ujuzi wa kupiga.. Tukutane 2025.Nimesikitishwa sana baada ya kutonywa na mtu kwamba eti wote waliokuwa kwenye top positions kwenye serikali ya awamu ya tano wanatakiwa kuondolewa!
Lakini nawahakikishia wote wenye hiyo mipango ovu kuwa watafanikiwa kuwatoa kwenye nafasi zao lakini kamwe hawatafanikiwa kuwatoa ndani ya mioyo ya watanzania na pia hawatafanikiwa kamwe kufuta kazi zao walizowafanyia watanzania.
Ni kweli Dk Kalemani siyo waziri tena lakini si Bwawa la nyerere lipo na linaendelea kujengwa kule Rufiji?
Nani hajui kuwa enzi ya Dk Kalemani majenereta yalikosa soko? Nani hajui kuwa enzi zake wananchi waliacha kuuziwa nguzo za umeme?
Ni kweli Dk Tito Mwinuka siyo MD wa Tanesco tena lakini si ndiyo ameifanya Tanesco iache kuagiza nguzo nje ya nchi na kuanzisha kiwanda cha kutengeneza nguzo zao wenyewe za zege,? pia na kuacha kutegemea ruzuku serikalini?
Ni kweli Dk Chamriho hayupo wizara ya ujenzi ,lakini si ndiyo amesaini na kutujengea flyover kila sehemu? Ina maana ukimtoa wananchi watasahau kuwa Mfugale na Kijazi flyovers zimesimamiwa na yeye?
Tunawaonya tu watoeni wote alafu tuone hizo kura za kuwafanya mshinde mtaenda kuomba wapi.
Kinachombeba mtu ni utendaji wa kuwafanyia kazi wananchi na siyo porojo zenu.
Inasikitisha sana shirika la umma limeanza kujaziwa kwenye bodi wafanyabiashara mafisadi waliotufungia majenereta hadi tukaanza kulipa capacity charges za ajabu ajabu.Wanafikiri hao wanaowapigia kura ni hiyo miccm inayojipendekeza kupata uteuzi wa mama. Mama anadanganya akisema yeye na magufuli ni kitu kimoja. Mtu akiwa mteuzi wa magufuli alisikika akimkashifu na kula njama dhidi yake ndio akatemwa. Leo mama anampa wizara nyeti kama nishati. Kwanza kwa ujuzi na uzoefu gani. Wazalendo wenye Phd wanatolewa wanawekwa wenye ujuzi wa kupiga.. Tukutane 2025.
Mtahangaika sana nyinyi sukumagang.Wanafikiri hao wanaowapigia kura ni hiyo miccm inayojipendekeza kupata uteuzi wa mama. Mama anadanganya akisema yeye na magufuli ni kitu kimoja. Mtu akiwa mteuzi wa magufuli alisikika akimkashifu na kula njama dhidi yake ndio akatemwa. Leo mama anampa wizara nyeti kama nishati. Kwanza kwa ujuzi na uzoefu gani. Wazalendo wenye Phd wanatolewa wanawekwa wenye ujuzi wa kupiga.. Tukutane 2025.