Kwa kampeni yenu hii, mtawatoa wote lakini hamtaweza kuyafuta waliyoyafanya

Mlizipeleka polisi hizo kura za kwenye mabegi??

Polisi hii hii inayotumika na ccm kubambikizia wapinzani kesi? Hao polisi sio ndio waliokuwa wanatumika kubeba mabox ya kura? Au unazungumzia polisi gani boss? Katika taasisi zilizopoteza uadilifu na kutumikia siasa chafu nchi hii ni hao polisi.
 
Reactions: BAK

Kwa hiyo chadema ni malaika hawana kosa?
 
Saanane waulize gazeti la Mwanahalisi walisema anaonekana akideki sebuleni kwa mbowe
Kiturilo au Makonda kwa jina halisi, huyo Ben Saanane ulimkamata wewe mwenyewe na kumpeleka kwa Magufuli. Alipokataa kubadilisha msimamo kuwa PhD ya Meko ni FAKE, Magufuli mwenyewe ndiye alimpiga risasi kwa bastola yake.
 
Reactions: BAK
Kwani magufuli aliwachukuwa wote waliokuwa chini ya kikwete? Hayo mambo ni kawaida kwenye utawalawewe( organisation & re organization)
Unaweweseka nn?
Kamfufue uzikwe wewe .
 
Bashite mfoji vyeti tulizana acha kuropoka ropoka ujinga. Nenda chato ukashtaki kwa dhalimu mwendazake.

Naona unaitendea haki ajira yako. Jana tu umejiunga JF lakini naona spidi yako ya kuanzisha nyuzi huku ni ya 5G. Tatizo lako ni kuwa bado unahisi kuwa jiwe litarudi tena duniani.
 
Naona unaitendea haki ajira yako. Jana tu umejiunga JF lakini naona spidi yako ya kuanzisha nyuzi huku ni ya 5G. Tatizo lako ni kuwa bado unahisi kuwa jiwe litarudi tena duniani.
Hata Nabii Issa hajarudi lakini kazi zake zinaendelea hapa duniani .

Jiwe hatarudi lakini flyover na ndege zake utazitumia huku nafsi ikikusuta.
 
Bashite mfoji vyeti tulizana acha kuropoka ropoka ujinga. Nenda chato ukashtaki kwa dhalimu mwendazake.
Nakuona mtoto wa gaidi ukiwayawaya hapa. Mpelekee dhalimu chai kisutu
 
Kwani magufuli aliwachukuwa wote waliokuwa chini ya kikwete? Hayo mambo ni kawaida kwenye utawalawewe( organisation & re organization)
Unaweweseka nn?
Kamfufue uzikwe wewe .
Lakini flyover na ndege unafaidi tu ewe toto la gaidi.
 
Muda wenu umeshapita weken vikalio chini au mkalime mwacheni rais afanye kazi unateseka ukiwa wap
 
Hahahahaha lol!!!! Ben Saanane na Azory miili yao uliitupa wapi muuaji wewe? Damu zao zitakusumbua sana KAMWE hatazipotea bure.

Nakuona mtoto wa gaidi ukiwayawaya hapa. Mpelekee dhalimu chai kisutu
 
Vipi Sukuma gang wanakujongelea?

Njoo huku kuna mtu wetu hapa:

tuwadai pamoja. Wamrejeshe akiwa hai na salama. Hili ni muhimu na dharura sana.
 
Reactions: BAK
Lakini flyover na ndege unafaidi tu ewe toto la gaidi.
Hizo ni kodi zetu na msaada wa wajapani aliotafuta Kikwete. Baba yako jiwe alivyokuwa anapenda sifa hakutambua mchango wa Kikwete kwenye hizo flyover.

Hayo mandege yenyewe ni matumizi mabaya kabisa ya kodi zetu,yanaendelea kututia hasara tu.
 
Mkuu wakati unawatetea, tuambie basi zile mita za barabara ya longido-namanga mlizoiba mlipewa sh ngapi...?

Barabara ya makuyuni-nanja- tma mlipewa sh ngapi...?😀

Na barabara nyingine nyingi tuu, hapo sijataja madaraja, na vivuko

Bwana mwendazake alikua mwizi tangu akiwa waziri, na alipopata rungu akaweka vibaka wenzake wa Tanroad ili waendeze kupora kwa kiki za kuita watu wanyonge

Tusiende mbali sana, kama ni kutolewa wacha watolewe tuu, waje wengine waendeleze
 
ahsante sana kwa maelezo mafupi, yasiyoegemea upande na yanayoeleweka mno! ni bahati mbaya tu kuwa humu siku hizi ni habari za mabishano tu kati ya wapigania legacy (wasiotamani hata kidogo kiongozi aliyopo afanikiwe) na sisi ambao hatuna shida yoyote na kiongozi aliyopo zaidi ya kumtakia heri na mafanikio mema katika kazi yake aliyokabidhiwa na Muumba. kutokana na hilo tunajikuta kwenye mihangaiko tu ya kutafuta ujumbe hasi kwa upande uliopo na kuujibu kihasi vilevile na mwisho wa siku tunajikuta tunakosa maarifa yaliyojificha kwenye post kama hii kijinga kabisa!!
 
Hata Nabii Issa hajarudi lakini kazi zake zinaendelea hapa duniani .

Jiwe hatarudi lakini flyover na ndege zake utazitumia huku nafsi ikikusuta.
ndege zimenunuliwa kwa kodi yangu, interchange (wewe unaziita flyover maana hata hujui flyover ni nini) zimejengwa kwa kodi yangu. Jiwe alikuwa anatekeleza ilani ya chama na alikuwa analipwa kwa kutekeleza ilani hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…