Kwa Kasi Hii Rais Samia Suluhu Hassan lazima Upinzani upoteane nchini

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango leo ameweka jiwe la msingi katika Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini - Mtwara lililopo Manispaa ya Mtwara Mikindani eneo la Mitengo Mkoa wa Mtwara.

#KaziIendelee

Source: Wizara ya Afya




 
HANA UBAVU HUYO HATA WAKATI WA MAGUFULI MLISEMA HIVYO HIVYO Je MAGUFULI YUKO WAPI?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Akili za kibongobongo hizi, jiwe la msingi hospital ya rufaa tu eti wapinzan watapoteana 🤣🤣🤣🤣
 
Kasi ya kubambikizia watu kesi eee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…