Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeicheki, iko makini una haki ya kuwehuka nayo. Nimeona ya 2023 bei kama £37,000
Hii ndio nilikuwa naongelea, hatari.Wana hio Tycan, nilikua naiona kama Safety Car kwenye Formula E
View attachment 2936487
Utanunua matatizo mdogo wanguNgoja tusubiri 2028 hivi zitakua nusu bei.
Unaweza kutupa pension yako humo kimasihara kabisa.Ngoja tusubiri 2028 hivi zitakua nusu bei.
Kama hujaweza kununua convertible katika umri wa 20-30 achana nazo utaonekana una midlife crisis.Kuna mahala nilisoma wamesema Convertibles (yale funika funua) are cool cars. But you can't buy twice.
Wabongo walivyo lala utashangaa wachina wanatoka kwao Asia huko wanakuja fungua garage ya kufanya maintenance za EV hapa bongo.
Aisee hivi vyuma vinne vya mwisho vikali aisee.. Nio E7 eehMchina kwenye EV's yuko vizuri
View attachment 2937927View attachment 2937928View attachment 2937929View attachment 2937929View attachment 2937930View attachment 2937931View attachment 2937932View attachment 2937933View attachment 2937934View attachment 2937935View attachment 2937936View attachment 2937937
Dar nishakutana na gari kadhaa za umeme pure, sio hybrid, ni umeme pure kwa sasa tuna mudu Nissan Leaf model ya kwanza, nyingi ni 30kwh yaani ikiwa battery ikiwa na 0% itahitaji umeme wa unit 30 kujaa yaani umeme wa shilingi 10,715 kujaa, ambapo wengi wanasema inawapeleka kati ya 200 na 250km ndipo chaji kwisha ambapo ni very economy, andaa kama 20mill hivi kupata 1st generetion ya nissan leaf kuipata yenye battery health nzuri kabla hatujaanza kuwawaza akina BYD na TeslaWakuu, tukubali magari ya umeme yanazidi kuongezeka kwa kasi sana ndani ya hii miaka mitano. Na inavoelekea yatazidi kuongezeka maradufu. Mfano tu angalia hii chart nimeitoa Wikipedia.
View attachment 2936011
Sasa kwa rate hii, nina imani na Tanzania sio muda tutaonesha ubabe wa kuagiza hizi chuma.
Mchawi ni gharama na Watu kuogopa issue ya mafundi.
Tukianza na gharama, sasa imekua sio issue tena.
Makampuni makongwe kama Tesla, wana offer gari mpya kwa bei kubwa sana unakuta Model 3 inauzwa $60,000/= mpya. Ukinunua used ndio unakuta $35,000/= kabla ya TRA. Bado yamoto sana.
Hawa Wachina BYD wamekuja kusolve issue ya bei kwa kutuletea gari mpya hadi ya $13,000/= imagine.
Hawa jamaa mwaka jana wameajiri mainjinia zaidi ya 20,000 kwenye Research & Development Department tu. Hii inamaanisha vitu vingi vizuri vipo njiani.
Mwaka huu 2024 wamekuja na hii gari BYD e2 Honor Edition kea bei ya $13,000/= tu.
View attachment 2936015View attachment 2936016View attachment 2936017
Theoretically hadi sasa ikiwa full charge inatembea Kilometa 400, Motor 70kW, Battery 4.9kWh, maximum speed ni 130 kph, Output power 94HP, uzito wake 1340 kg, Fast Charge 0.5 hours na Slow charger 6 hours izo ni baadhi.
Sasa kama serikali yetu sikivu kupitia TRA wakafanya mchakato kama walivyohaidi kwamba magari ya umeme yatakua na ushuru bure basi itapendeza sana.
View attachment 2936021
Watu watajiripua, tutaenjoy magari mazuri bila makelele mengi njiani na eco friendly.
Pia serikali ingeanza kwa kuonesha mfano kwa kuingiza mabasi ya Mwendokasi yawe ya umeme na magari ya baadhi ya mashirika yawe ya umeme, mfano posta delivery ya mizigo mjini.
Nakukatalia, maintainance gani ya gari la umeme ni ghali? Gari la umeme ni gharama kulinunua sio kuli maintaineDuh! gari za umeme maintenance ni gharama sana hata marekani ambako Tesla ndio chimbuko lake...kwa gari za umeme bado sana kulikamata soko maana uzalishaji wake inavoonekana ni gharama sana pamoja na miundombinu wezeshi hasa Africa safari kufikia huko bado sana
Kuanzia chini kwenda juu kunaAisee hivi vyuma vinne vya mwisho vikali aisee.. Nio E7 eeh
Haya magari yanahitaji pull factors pia, mfano kuanza kufunga mfumo wa kuchajia wa public.Mwanangu Mad Max sijui unapendea nini haya magari!! Japokuwa ulimwenguni unaenda kwenye EV's kwangu Mimi bado natamani combustion engine ziendelee kutengenezwa..
haya magari ya UMEME Kwa maisha yetu ya kiafrica naona kama bado sio rafiki kwetu, ndiyo maana kampuni ya Toyota wamependekeza Kwa manufacturers wawekeze kwenye hydrogen fuel( eco friendly) pia ni zero emissions kama UMEME Tu
Technology ya hydrogen fuel ni kama ilivyo petroleum na diesel engine.... Najua baada ya miaka 10 mbele Tanzania tutakuwa tunatumia magari ya kichina kwasababu ya bei zake chini pia serikali Yao wamedhamiria kuteka soko lote la Asia, Latin America na Africa Kwa kuingiza magari yao