BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Ma Keybord worriour wenzangu, kwa katiba mbovu tulio nayo still bado hata bila chama unaweza anzisha harakati zako kikubwa uwe na watu nyuma yako.
Unaweza hata ingiza watu Barabarani wakinukishe, sasa hili tunashindwa vipi? kwani ni lazima iwe ni ndani ya Chama? na hicho chama kiwe ni CDM?
Keybord worriour tutambue kwamba harakati hazihitaji chama bali uwe tu na watu, hata kuingia road hakuhitaji chama cha Siasa.
Nini kinatushinda? si tunao watu? tunaye Lisu pia? Tuingie.