Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani inzi ndio kipimo chako cha ubora? Kweli Africa tuna safari ndefu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani inzi ndio kipimo chako cha ubora? Kweli Africa tuna safari ndefu sana
Ni maji au dawa ya kuhifadhia maiti?!Kumbe wavuvi wa ziwa Victoria wanatumia maji ya maiti kutupatia kitoweo kama alivyotahadharisha Makamu wa Rais Dkt. Mpango..
Mtoto huli samak [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unanisingizia.
Hii mada imevutia wengi kuleta NYUZI humu JF, but, kila mleta uzi ana lake. Wewe wasema "maji yanatumika kama chambo" ??????????????????, kule kwwingine wanasema "hanatumika kuhifadhi";. Ni vema tukamnukuu mtoa hoja ipasavyoNaunga mkono nasaha za wavuvi kuacha kutumia maji ya maiti kama chambo cha kukamatia samaki.
Hili jambo linahitaji utafiti wa kina tena wa muda mrefu ili kupitia maeneo yote kwa uhakika.kwasababu kusema tu kwamba idadi kubwa ya wagonjwa wa kansa kanda ya ziwa chanzo kinaweza kua matumizi ya formaline kwenye kuhifadhi samaki napata mashaka kwasababu samaki wa ziwa victoria hususani wanaovuliwa ukanda huu wa ziwa kwa upande wetu wanasafirishwa nchi nzima.sasa kwanini wagonjwa wengi wawe ni wa kanda ya ziwa tu.Mimi nadhani maji ya ziwa ndiyo yanatatizo.Tuanze kutafiti kwanza maji kwasababu ziwa victoria ndio chanzo kikubwa cha maji ukanda huo kwahiyo inawezekana yana kitu kinacholeta shida kwa watumiaji.Samaki na formaline tunasingizia tu baada yakukosa majibu sahihi.Ngoja tusubiri majibu ya utafiti.