Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa tunaongelea fomalin na sio maji ya kuoshea maitiKuondoa hofu chukua samaki mbichi testa nzi ukiona nzi asogei kwenye msoga wa samaki, sumu hio mwambie akurudishie pesa yako.
Rafiki labda useme chemical ya fomalin lakini sio yale majiNa wanatumia hayo maji pia hili samaki wasiharibike,hii ni kweli halina ubishi,,,wavuvi wenyewe wanasema,,
Na walaji wa kuku wa kisasa pia si salama.
Bora Dr alinikatazaga kula masamaki ya masafa/kwenye mafriji[emoji23]
Wana lao jambo maji ya maiti yakilala siku mbili tu huanza kutoa uvundo mkaliTunatishwa sana walaji
Ishu ya formalin nimeisikia toka kitambo, hata kwenye nyama lala buchani.Hapo sasa tunaongelea fomalin na sio maji ya kuoshea maiti
ndio, unakuta limboga lakijani kibicholi halija tobolewa hata kidogo na wadudu, maana yake limepugwa madawa mengiDaaa! Hadi mboga mboga??
Samaki Ni chakula Cha matajiri ..wasemavyo watu
Sidhani kama Mkandawile alikuwa na ushahidi wowote wa kukanusha hiloMwalimu wangu Mkandawile
Ahaaa!!ni kutokana na ile dawa anayowekewa maiti asiharibike ndio inaleta shida, kwenye maji hayo ya kuoshea.Maji ya maiti yana ingredients gani ambayo inasababisha kansa?
Mkuu sisi wafrika maisha yetu ni kumuachia mungu tu, ndiye ajuaye, Huku kwenye kuku kumbe wafugaji sasa wanatumia anti bayotic, kwenye filigisi wamekuta mabaki ya tetesaklini!!!hapo utaponea wapi?!!na serikali kudhibiti haya itaanzia wapi haiwezi.Hahaha maisha haya
Jana nimesikia tusile maini ya kuku (broiler) .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unanisingizia.Toto la kishua
Magonjwa kama ya allergy ni ya ushuani
Sijawahi sikia mwananyamala , au Manzese kuna mtu ana allergy na samaki[emoji16]
Huko wanakula kila kitu kasoro nyama ya mtu tu
[emoji23][emoji23]Rafiki labda useme chemical ya fomalin lakini sio yale maji
Maana kuna mvuvi alisema hivyo,Rafiki labda useme chemical ya fomalin lakini sio yale maji
bora ule sembe kisha jaziliza virutubisho kwenye mboga na matunda uokoe ini na figo yako.sasa tuchague lipi? wanapiga dawa ili kuzuia fungi wanao dhalisha sumu ya aflatoxin ambapo ukisaga dona tu we kwisha. sasa kilicho baki ni kuchagua
1. ule unga mweupe usio na sumu ila hauna virutubisho.
2. ule dona kutoka kwenye maindi yasio pigwa dawa yani dona lenye aflatoxin.
3. ule dawa ya viwandani iliopigwa ili kuuwa wadudu.
😂😂 hadi raha
Dona tengeneza mwenyewe,Dona tunalokula halina sumu
Ulitaka nifikirie nafsi ya nani?Unajifikiria nafsi yako tu.
Wana kolabo zao hao hawazitajiMaana kuna mvuvi alisema hivyo,
Dunia ina mambo hii.
Huyo makamu wako naye amepuyanga tu hamna logic hapo, hayo maneno yalipaswa kusemwa na Mwijaku na si mtu mwenye hadhi ya makamu wa Rais. Jiulize hayo maji ya maiti yana chemicals zipi zinazoweza kukaa kwenye minofu ya Sangara mpaka kumfikia mlaji? Maiti inahifadhiwa kwa kutumia fomarin, inaoshwa kwa maji na sabuni.Kumbe wavuvi wa ziwa Victoria wanatumia maji ya maiti kutupatia kitoweo kama alivyotahadharisha Makamu wa Rais Dkt. Mpango baada ya wagonjwa wa saratani kuongezeka huko Mwanza katika ziara yake hapo juzi.
Naunga mkono nasaha za wavuvi kuacha kutumia maji ya maiti kama chambo cha kukamatia samaki. Wakiendelea hivyo wengi tutaangamia na hata nchi zinazonunua minofu Ulaya zitapungua.
Inatisha.