Kwa kauli hii naanza kuogopa kula Sangara

Kwa kauli hii naanza kuogopa kula Sangara

Kwamba hawa samaki wanavuliwa na ndoano Mbna cjakuelewaaa.... ??
unaweza mvua kwa ndowano pia, wavuvi wanaita migonzo kama sijakosea, yani long line au trolling kwa nyavu unatumia trawling net japi hairuhusiw
 
Kumbe wavuvi wa ziwa Victoria wanatumia maji ya maiti kutupatia kitoweo.Kama alivyotahadharisha makamu wa raisi dkt Mpango baada ya wagonjwa wa saratani kuongezeka huko Mwanza katika ziara yake hapo juzi.
Naunga mkono nasaha za wavuvi kuacha kutumia maji ya maiti kama chambo cha kukamatia samaki.Wakiendelea hivyo wengi tutaangamia na hata nchi zinazonunua minofu Ulaya zitapungua.Inatisha.
Umemnukuu vibaya. Maji hayo yanatumika kuosha samaki ili inzi au wadudu wasiharibu huyo samaki baada ya kuvuliwa
 
Yaa kuna uwezekano huo kwamba hilo ziwa tayari liko heavily polluted.......ni muhimu hatua mathubuti zichukuliwe kulinda mazingira ya bonde la ziwa victoria kuepuka hizo environmental pollutants.
watu baadhi ya vijiji kando ya ziwa wana mifumo mibovu ya vyoo na wengine hawana na kufulia nguo ziwani. yan ukichukua sample ya za flesh fish ukaingiza mabara wadudu utakao pata hawaesabiki, ni uchavu mkubwa sana
 
Umemnukuu vibaya. Maji hayo yanatumika kuosha samaki ili inzi au wadudu wasiharibu huyo samaki baada ya kuvuliwa
sangana ana high level of unsaturated fat(mafuta) ambao hupelekea oxidation samaki huharibika, pia autolytic changes yan self degradation, enzymes zilizo mwilin mwa samaki baada ya samaki kufa hualibu mwili husababisha hatufu mbaya. formaline iliopo kwenye maji ya maiti huxuia wadudu kama izi kukaa mbali na mzoga wenda ni mbaya kwa mlaji.
ww na nxi hamna tofauti kama kwa nxi ni sumu basi hata kwako ni sumu. na wale wa mboga mboga usinunue mboga ambayo haijatobolewa na wadudu hata kidogo unanunua maradhi
 
Kumbe wavuvi wa ziwa Victoria wanatumia maji ya maiti kutupatia kitoweo kama alivyotahadharisha Makamu wa Rais Dkt. Mpango baada ya wagonjwa wa saratani kuongezeka huko Mwanza katika ziara yake hapo juzi.

Naunga mkono nasaha za wavuvi kuacha kutumia maji ya maiti kama chambo cha kukamatia samaki. Wakiendelea hivyo wengi tutaangamia na hata nchi zinazonunua minofu Ulaya zitapungua.

Inatisha.
Hayo maji ya maiti yanatoka wapi, kwanini wasidhibiti hapo yanapotoka
 
Maiti Ni wengi kiasi watosheleze nahitaji ya wavuvi wote lake zone? Kuna kipindi kulitokea uvumi kuwa kuku broiler wanalishwa ARVs eti wanenepe! These are myth busters [emoji1787][emoji1787]
 
Hayo maji ya maiti yanatoka wapi, kwanini wasidhibiti hapo yanapotoka
Ikiwa hospitali ipo karibu na ziwa si rahisi lakini ziwa si kama bahari.Ndio maana kila inapowezekana mkondo wa maji taka kuelekezwa baharini ni bora.bahari huwa inakuja na kusafisha na kutibu maji taka.Ikiwa hospitali ipo karibu na ziwa basi maji taka yake yapelekwe kwenye shimo kubwa sana la kipekee kwenye uwanda.
 
Kiukweli ukifuatilia sana maneno ya watu juu ya hizi mambo vilivyo vingi havifai kwa afya.

Si mboga za majani wala sio hivyo vitoweo.
 
Ikiwa hospitali ipo karibu na ziwa si rahisi lakini ziwa si kama bahari.Ndio maana kila inapowezekana mkondo wa maji taka kuelekezwa baharini ni bora.bahari huwa inakuja na kusafisha na kutibu maji taka.Ikiwa hospitali ipo karibu na ziwa basi maji taka yake yapelekwe kwenye shimo kubwa sana la kipekee kwenye uwanda.
Kwanini teknolojia inakwepwa katika kudhibiti uhalifu, kama askari wameshindwa kwanini wasiajiri camera za usalama?
 
Taifa LA mbumbumbu na stori za vijiweni zisizo na utafiti. Hao sangara wanavuliwa tani ngapi kwa siku na hizo maiti zinaoshwa ngapi kwa siku.

Pia eti supu ya pweza inaongeza nguvu za kiume badala ya mbegu za maboga zenye Zinc.
Sasa nani kakwambia supu ya pweza haina zinc?
 
Naona kama wote wanasiasa na tusiokuwa wanasiasa tumeunga teller hakuna anayehoji kwamba maji ya kuoshea maiti yanasababishaje saratani?,wataalam mtuambie mtu akifa anazalisha sumu kiasi cha kusababisha ugonjwa?”

"Au wakati wakuosha maiti zipo dawa zinatumika?"


Though siungi mkono kutumika kuhifadhi kitoweo but inawezekanaje???
Labda wanazungumzia kemikali ya kuhifadhia maiti, inaitwa formaldehyde
 
Back
Top Bottom