Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo ukule vitu orijino[emoji23]Ewaaa mambo ndio haya sasa
Siku hizi umetuliatulia sijui nini kimekukuta na hao samaki...😂😂😂 muone
Hamna hata kilichonikuta, nimepunguza fujo tuSiku hizi umetuliatulia sijui nini kimekukuta na hao samaki...
Unajifanyisha kua mtulivu...Hamna hata kilichonikuta, nimepunguza fujo tu
Yaa kuna uwezekano huo kwamba hilo ziwa tayari liko heavily polluted.......ni muhimu hatua mathubuti zichukuliwe kulinda mazingira ya bonde la ziwa victoria kuepuka hizo environmental pollutants.Maji ya ziwa sio kama ya bahari. Ni rahisi kuchafuka.Kama hatua hazikuchuliwa kuzuia sumu kuingia humo basi ni janga kubwa.
Na wakati sina utulivu 😁Unajifanyisha kua mtulivu...
Utulivu unao, sema unajikutaga kababe sana, kumbe mchubma tu...Na wakati sina utulivu 😁
Maji ya maiti au dawa zakuifadhia maiti? Hi Nchi wajinga wengi,hata Jana nimesikia chombo Cha habari kinatangaza heti maji ya maiti yatumika kuifadhia samakiKumbe wavuvi wa ziwa Victoria wanatumia maji ya maiti kutupatia kitoweo.Kama alivyotahadharisha makamu wa raisi dkt Mpango baada ya wagonjwa wa saratani kuongezeka huko Mwanza katika ziara yake hapo juzi...
Kijijini tulikua tunautambua uyoga wenye sumu na usio na sumuAcha upotoshaji wewe..waafrika kwa uchafu..yani nzi ndio awe tester ya ubora wa samaki.
#MaendeleoHayanaChama
Nilisoma mahali kwenye makala kuwa yanaweza kusababisha impotence.Hahaha maisha haya
Jana nimesikia tusile maini ya kuku (broiler) .
Duuuh,kumbe wanafanya hivyo kweli kabisa....hatari sana hiiNa wanatumia hayo maji pia hili samaki wasiharibike,hii ni kweli halina ubishi,,,wavuvi wenyewe wanasema,,
Na walaji wa kuku wa kisasa pia si salama.
Bora Dr alinikatazaga kula masamaki ya masafa/kwenye mafriji[emoji23]
Huo uchunguzi ufanywe na nani??subwataalam kutoka nje?Endeleeni kula samaki, hakuna utafiti wowote wa kitaalamu kuthibitisha hayo maji ya maiti hata kama kweli yanatumika kwamba yana uhusiano wowote na kupata magonjwa ya kansa, hii ni sawa na story ya kijiweni......matatizo ya saratani huko ni kutokana na mazingira ya migodi kuchafua vyanzo vya maji kwa kemikali, labda kwa kiasi fulani kemikali za viwandani na yale madawa ya kilimo yanayotumika karibu na vyanzo vya maji........mwisho wa siku hizi kemikali huishia ziwani. uchunguzi ufanyike kama kuna viashiria vya kuwepo kiwango kikubwa cha kemikali hatarishi kwenye maji ya ziwa na kwenye samaki wanaopatikana ziwani hasa ukilenga kujua kiwango cha heavy metals kama mercury, lead nk.
nimewaogopa aiseBroiler nisichowapendea shombo. Nyie kuleni tu. Kwanini mtiane hofu?
Ukiyapeleka mashine kusaga nako unaambiwa kuna chembe chembe za chuma zinaingia kwenye unga ambazo si salama.mkuu dona nilishaikimbia kitambo, nikila dona ujue unga nimeandaa mwenyewe. nimesafisha mahindi na nimepeleka kusaga mimi mwenyewe. Madhara ya dona la kununua hotelini nimeyashtukia kitambo sana
Kwamba hawa samaki wanavuliwa na ndoano Mbna cjakuelewaaa.... ??bongo tanzia, chambo ni kitu kinachu tumika kumvutia samaki aje mtegoni. sangara ni carnivor hula nyama tu, tena hupendelea live bait, yani chambo hai sio mzoga mara nyingi hula samaki wenzake hasa sato na fulu. sasa ukisema unatumia maji ya maiti kama chambo ni aibu😂😂😂😂 ni kuongea utumbo,labda useme wanatumia kwa mambo ya hayati lakin kwa chambo hapana.
nimesikia mwingine anasema hutia eti kuzuiya samaki asihalibike😂😂😂 utumbo, Wavuvi kwa ship za viwandani huendana barafu ziwani sangara baada ya kushikwa tu mara hiyo hiyo huwekwa kwenye barafu.
ushauri.
muoshe vizuri na mpike samaki aive vizur, maji baridi yana vijidudu wengi hatatishi.(enterobactceae)
duh mbona hatariNilisoma mahali kwenye makala kuwa yanaweza kusababisha impotence.
Inaweza kuwa kweli labda maana kazi ya maini kwa kiumbe chochote ni detoxification.
Huyu ana maana dawa zinazotumika kuonyeshea maiti zinazuia kbsa harufu na zinawafukuza inzi ndio maana ukitaka kula samaki hao anasema jaribu hivyoAcha upotoshaji wewe..waafrika kwa uchafu..yani nzi ndio awe tester ya ubora wa samaki.
#MaendeleoHayanaChama