Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe utumishi wa uma its all about nyongeza ya mshahara tu. I wish na mimi nitupe jembe langu >>>>>>
Kabudi akiwa anahutubia baraza la wafanyakazi wa wizara ya mambo ya nje, Ameeleza wazi hamna nyongeza ya mshahara kwa mwaka na malipo ya masaa ya ziada yanaondolewa, Kwa vile yeye ni mjumbe wa baraza la mawaziri sitilii shaka kusema yawezekana huu ndio msimamo wa serikali.
Sasa Ili niendelee kufunga mkanda mwaka ujao wa fedha, Kesho naanza process niondoe makato ya TUGHE kwenye salary slip yangu, Baadae yatafatiwa na mchango wa hiari wa kusaidiana wakati wa matatizo.
Maana hiki kikombe ni kizito na lazma tukinywe hamna namna.
TUGHE jiandaeni kupokea barua yangu kesho.
Mkuu Jaribu kupima maji na Unga usije ukajuta.
Itoshe tu wakati wa kampeni Kiongozi wa upinzani kusema atalipa annual increment zilizozuiwa na Mrundi/Mnyarwanda. Anajenga ma hotel Kigali.Kabudi akiwa anahutubia baraza la wafanyakazi wa wizara ya mambo ya nje, Ameeleza wazi hamna nyongeza ya mshahara kwa mwaka na malipo ya masaa ya ziada yanaondolewa, Kwa vile yeye ni mjumbe wa baraza la mawaziri sitilii shaka kusema yawezekana huu ndio msimamo wa serikali.
Sasa Ili niendelee kufunga mkanda mwaka ujao wa fedha, Kesho naanza process niondoe makato ya TUGHE kwenye salary slip yangu, Baadae yatafatiwa na mchango wa hiari wa kusaidiana wakati wa matatizo.
Maana hiki kikombe ni kizito na lazma tukinywe hamna namna.
TUGHE jiandaeni kupokea barua yangu kesho.
HahahahWatu tushajitoa kitambo sana. Utakapo jipanga jipange sawa sawa. Sijui unatumia kinywaji gani Ila Kvant ndio kiboko ya hasira. Piga mbili ndogo mwana zinaletaga hasira hizo kinoma. Kwani ukifika mlangoni unaanza kulia kwa hasira za kvant. Then futa machozi ingia. Usicheke na nyani shambani utavuna mabua wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimekufosi?Wewe pimbi kweli, unanifosi kama nani? Pumbavu kabisa....
KabisaTanzania hakuna vyama vya wafanyakazi kuna vyama vilivyoundwa na waajiri vikiendeshwa kwa fedha Za wafanyakazi.
Kama unakatwa fedha na chama cha wafanyakazi basi unachofanya ni kulinufaisha kundi flani la watu wanaozipiga hizo fedha kisawasawa.
Kama hauongezwi salary bado hicho chama kikukate hela sikuongezeana umasikini Huku.
Kama wanashindwa hata kupigania annual increment hivi vyama ni vyanini hasa.
Sent using Jamii Forums mobile app