Kwa kauli hii ya kabudi, Kesho naandika rasmi barua ya kujitoa TUGHE

Kwa kauli hii ya kabudi, Kesho naandika rasmi barua ya kujitoa TUGHE

Tulizana, serikali sikivu itatoa tamko mei mosi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa mie ndie TUCTA walaahiii, Mei Mosi ya mwaka nisingeweka issue yoyote ya kuhusu mshahara, zaidi ningesisitiza wafanyakazi wachukue tahadhari dhidi ya gonjwa hatari la korona na mdogo wake UKIMWI
 
Mkuu Jaribu kupima maji na Unga usije ukajuta.
Kama inawezekana atoke tu. Si kuna collective bargaining!
Kama wakiomba mishahara ipande si na yeye atapata hata kama sio mwanachama...
hahahah
 
Duuh! Makaburi yanavofukuliwa kweli usithubutu kudanganya jf utaumia bure
 
Mzee wetu wa geneva njoo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom