Kwa kauli hii ya kabudi, Kesho naandika rasmi barua ya kujitoa TUGHE

Kiranga mkuu

Tudiscuss hoja iliyopo mezani

Mabishano yasiyo na msingi hayana maana

Kudos kwako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kwa mjinga hata hoja ya msingi iliyopo mezani ni vigumu ku discuss, kwa sababu hajui hoja ya msingi ni ipi.

Hapa kuna tatizo la ujinga, kutojua mambo, kutofuatilia.

Na mtu akioneshwa msingi huu wa tatizo ana panic.

Ndiyo maana nasema hata leo akijiondoa TUGHE, kesho anaweza kupigwa na waganga wa kienyeji.

Kwa sababu hataki kuangalia mzizi wa tatizo.

TUGHE si ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa.

TUGHE ni kikohozi kinachotokana na kifua kikuu.

Sasa mtu anaumwa kifua kikuu, halafu anataka kutibu kikohozi kwa kula Cofta.

Tunataka kufuatikia dawa ya kifua kikuu, kabla hata hajaelewa uchunguzi anakurupuka.

Atapona hapo?

Sasa mimi nikijadili kifua kikuu badala ya kikohozi tu, utasemaje naketa mabishano yasiyo na msingi?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Aiseee Kuna watu wanaenda shule kusoma ujinga then wanakuwa wapumbavu mojawapo ni wewe.
Sasa umeandika nini hapa, mkuu sio kila kitu lazma utoe upupu. Halafu kujiona mwerevu zaidi ya wenzako ni dalili za kiwango cha juu cha UPUMBAVU
 
Huyu jamaa anajifanya yeye ndio anajua kila kitu anaanzisha league hata kwa vitu vya kijinga kabisa.
Unapimaje hiki ni kitu cha kijinga na hiki si cha kijinga?

Unawezaje kusema nimeanzisha ligi kwenye kitu cha kijinga ikiwa swali langu hujalielewa na hujalijibu?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Aiseee Kuna watu wanaenda shule kusoma ujinga then wanakuwa wapumbavu mojawapo ni wewe.
Sasa umeandika nini hapa, mkuu sio kila kitu lazma utoe upupu. Halafu kujiona mwerevu zaidi ya wenzako ni dalili za kiwango cha juu cha UPUMBAVU
Unajuaje huu ni ujinga na huu si ujinga?

Nimekuuliza swali ambalo kulifuatilia kungeweza kukusaidia usipigwe pigwe kila mara katika maisha kama unavyopigwa na TUGHE.

Badala ya kutaka kulielewa, umekurupuka.

Sasa hapo nani mjinga?

Nasema hivi.

Wewe ni sawa upigwe tu na TUGHE.

Siwezi kushangaa.

Maana, wajinga ndio waliwao.

Na wewe ni mjinga.

Sasa kuliwa wewe ni lazima.

Mpaka uache ujinga.

Hii ni kanuni ya asili, si kanuni ya Kiranga.

Mimi nakufahamisha tu ujinga wako.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Unapimaje hiki ni kitu cha kijinga na hiki si cha kijinga?

Unawezaje kusema nimeanzisha ligi kwenye kitu cha kijinga ikiwa swali langu hujalielewa na hujalijibu?

Sent from my typewriter using Tapatalk
Unakoelekea utatiwa vidole
 
Wewe ni zaidi ya NDINA
 
Hawa jamaa hawana pesa,ndio maana mara zote wana hasira hasira sana kama mkuu wao,ndio maana pia kila leo ni kukopa kopa tu
 
Back
Top Bottom