Kwa kauli hii ya kabudi, Kesho naandika rasmi barua ya kujitoa TUGHE

Selekali ya Wanyonge

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Kumbe utumishi wa uma its all about nyongeza ya mshahara tu. I wish na mimi nitupe jembe langu >>>>>>
 
Watu tushajitoa kitambo sana. Utakapo jipanga jipange sawa sawa. Sijui unatumia kinywaji gani Ila Kvant ndio kiboko ya hasira. Piga mbili ndogo mwana zinaletaga hasira hizo kinoma. Kwani ukifika mlangoni unaanza kulia kwa hasira za kvant. Then futa machozi ingia. Usicheke na nyani shambani utavuna mabua wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi vyama vya wafanyakazi NI UNAFIKI MTUPU. Wanawababaikia waajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itoshe tu wakati wa kampeni Kiongozi wa upinzani kusema atalipa annual increment zilizozuiwa na Mrundi/Mnyarwanda. Anajenga ma hotel Kigali.
Awamu hii ni zaidi ya COVID 19.
 
Duuh wakiondoa hiyo extra duty allowance (EDA) maisha yatakua magumu balaa... Hiyo ndio tunaitegemea kusogeza siku.
 
Tanzania hakuna vyama vya wafanyakazi kuna vyama vilivyoundwa na waajiri vikiendeshwa kwa fedha Za wafanyakazi.
Kama unakatwa fedha na chama cha wafanyakazi basi unachofanya ni kulinufaisha kundi flani la watu wanaozipiga hizo fedha kisawasawa.
Kama hauongezwi salary bado hicho chama kikukate hela sikuongezeana umasikini Huku.
Kama wanashindwa hata kupigania annual increment hivi vyama ni vyanini hasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kiranga hapa ni kukabiliana na hii hali ya ufungaji mkanda.
Niongeze minofu kwenye take home, niongeze vipesa vya kununulia unga
Hujajibu nililokuuliza na ulilojibu sijakuuliza.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Hahahah
 
Kabisa
 
Wapi nimekufosi?

Pimbi wewe unayeliwa hela zako na TUGHE mpaka leo.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Sasa ulitaka nikujibu ambalo tayari unalijua,...wewe jamaa jinga kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…