Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujifariji sio dhambi mkuu. Endelea kujifariji maana hamna namna nyingine ya kusuuza moyo wako zaidi ya hiyo!!!"2025 mtaamua wenyewe muwalete walioleta matozo au muwatoe"
Unapata picha gani kwa kauli hii, Mama keshachokwa na hapa ni miezi tisa tu.
Mkuu huwezi kumtusi hovyo mtu mzima tena raisi wa nchi.Unachoshauri ni nini ndugai katoa mawazo yake unaposema asipokua makini watu watamdharau au wanamdharau yaah ofcoz wanamdharau kwasababu hamna kitu anafanya sio mfatiliaji inshort ni mshenzi
Mkuu huwezi kumtusi hovyo mtu mzima tena raisi wa nchi.
Tusiruhusu mihemko ya namna hii.
Angekuwa nduguyo ungemtusi hivi?
Mimi si muumini wa aina yake ya uongozi lakini sifikirii kumshambulia kwa lugha kama hizi. Kosoa usikashifu au kutukana.
Ukimnukuu mtu nukuu neno kwa neno.usimlishe maneno yako"2025 mtaamua wenyewe muwalete walioleta matozo au muwatoe"
Unapata picha gani kwa kauli hii, Mama keshachokwa na hapa ni miezi tisa tu.
Hasinge weza kutoa hizo kwa sababu kulikuwa na kiongoz mkuu anaye simamia kile anacho kiamini bila kuogopa mtuWatu wameachiwa kuongea sasahivi wanaropoka tuu hivi ndugai wakati wa dikteta angeweza kutoa hizo kauli?
Rais anatakiwa kujipanga vizuri zaidi kwenye kauli zake. Mtu anayeshindwa kujipanga kwenye kauli hata mawazo naweka shaka kama anaweza kujipanga.Huwenda alimaanisha serikali yake ya awamu ya sita..
Alisimamia mradi gani wa kimkakati ukakamilika?Hasinge weza kutoa hizo kwa sababu kulikuwa na kiongoz mkuu anaye simamia kile anacho kiamini bila kuogopa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mama samia anawaogopa? Hii nchi punda bado wengi aiseeHasinge weza kutoa hizo kwa sababu kulikuwa na kiongoz mkuu anaye simamia kile anacho kiamini bila kuogopa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugai asingeweza enzi za Magu mwanaume alikuwa mmoja tu wengine waliufyataWatu wameachiwa kuongea sasahivi wanaropoka tuu hivi ndugai wakati wa dikteta angeweza kutoa hizo kauli?
Mwigulu na Makamba ni kundi moja?Wewe mshauri wako akiwa mwiguru na makamba ujue umepigwa,tena mchama kweupe