Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Tabia binafsi za mtu zinamchango mkubwa katika masuala ya Uongozi.Ndugai asingeweza enzi za Magu mwanaume alikuwa mmoja tu wengine waliufyata
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabia binafsi za mtu zinamchango mkubwa katika masuala ya Uongozi.Ndugai asingeweza enzi za Magu mwanaume alikuwa mmoja tu wengine waliufyata
Aache kupitisha bakora ili wananchi waamue wamtakaye."2025 mtaamua wenyewe muwalete walioleta matozo au muwatoe"
Unapata picha gani kwa kauli hii, Mama keshachokwa na hapa ni miezi tisa tu.
Akina miguru wanapiga hela za tozo mpaka anasinzia. Makatani February anapiga za kulazimisha kwenye umeme. Ila sisi wabongo wametusoma uboya.Huwenda haamini kawa Raisi maana kila siku anasema kuna mambo yanaendelea chinichini na hatumuoni akichukua hatua yoyote
Watoto wa mjini washamzidi kete..
We utakuwa haupo sawa kichwani,kwaiyo Rais asisafiri ajifungie ndani Kama yule msukuma mwenzenu na mkristo mwenzenu!?Aanze na mshauri wake anayemdanganya kusafiri nje kwa kigezo cha kufungua nchi kumbe anampoteza, akimalizana na huyo ndio aje kwa vijana wa mjini maana ndio wanamtia nuksi katika uongozi wake…
Anamuonea tu MBOWE mijizi inajichotea tu na hana cha kuifanya
Embu weka rekodi zako sawa sawa, huyu mama sio mpole, bali mtu asiyejua chochote na asiye na ushawishi wowote kwenye jamii na siasa za nchini. Hajui kusoma alama, nyakati wala majira ya kisiasa. Anabahatisha kwa 99%.Kauli ya Mama yetu Raisi Samiah Suluhu Hassan wakati akishuhudia utiaji saini wa awamu ya tatu ya reli ya SGR
"..Ubora wa vifaa vinavyonunuliwa uendane na reli inayojengwa kwa sababu miezi michache niliyokaa serikali, nimeona mambo mengi sana ambayo huko nyuma yalikuwa hayafanyiki lakini sasa yanataka kufanyika, sitakubaki yafanyike”
Kwa upande wangu ningependa kumshauri Mtukufu Mama na Rais wetu Samiah Suluhu Hassani kwamba
“Itakuwa vyema kwa yeye kukaa pembeni mwaka 2025 ili kuepuka kutoa malalamiko kama haya katika hotuba zake pindi ahutubiapo Taifa”
Mpaka Sasa najiulizia Mama yetu Samiah hajatambua nguvu aliyonayo hadi kushauriwa mambo ambayo anaona kabisa yanampotezea credit kwa wananchi na hii inanipa picha ya kwamba kuna watendaji wa ngazi za juu kabisa wanamdharau Mama yetu huyu.
Nihitimishe kwa kusema awe makini na washauri wake maana wamegundua mama ni mpole na ni mgumu wa kuchukua maamuzi.
Hao ni watu wawili tofauti wenye nia moja. Wote wana tamaa iwe ya mali ya haraka,iwe madaraka. Wote wawili hawana nia hata moja ya kuwatumikia Watz hata nusu,ila wamejaa tamaa za upigaji tu. Wote ni wapigaji. Wote wawili wanautaka urais iwe asubuhi,iwe mchana. Mwingine alichora na mawe yote. Wote wana nia ya kumuangusha mama ili waangalie fursa ya kugombea hiyo nafasi.
Tulishauri hapa Kuwa kipindi kile mama asafishe Team ya JPM yote alete Team yake watu kama kina Makubi au Dorothy Gwajima Wananchi hatuelewi sarakasi zao kabisa, Mama anasogeza karibu watu ambao wanatamani nafasi yake 2025, Mama asafishe kabisa
Acheni hizi tabia za kipimbi za kuwataka watu wahame nchi aisee, kwani huwezi kujenga hoja zako bila ya kumtaka mtu ahamie Kenya?Nenda kenya tatizo mnataka kumfanya raisi kama Mungu kama anakosea anapaswa kusemwa hadharani kama raisi wa US anaweza kunyooshewa dole la kati na mwananchi ana haki kama hampe di kufanya hivo sio kosa itakua kwa raisi wa tz?
Wewe mshauri wako akiwa mwiguru na makamba ujue umepigwa,tena mchama kweupe
Hakuna kukaa pembeni,mama akomae akicheka na wahuni,atavua mabua.Kauli ya Mama yetu Raisi Samiah Suluhu Hassan wakati akishuhudia utiaji saini wa awamu ya tatu ya reli ya SGR
"..Ubora wa vifaa vinavyonunuliwa uendane na reli inayojengwa kwa sababu miezi michache niliyokaa serikali, nimeona mambo mengi sana ambayo huko nyuma yalikuwa hayafanyiki lakini sasa yanataka kufanyika, sitakubaki yafanyike”
Kwa upande wangu ningependa kumshauri Mtukufu Mama na Rais wetu Samiah Suluhu Hassani kwamba
“Itakuwa vyema kwa yeye kukaa pembeni mwaka 2025 ili kuepuka kutoa malalamiko kama haya katika hotuba zake pindi ahutubiapo Taifa”
Mpaka Sasa najiulizia Mama yetu Samiah hajatambua nguvu aliyonayo hadi kushauriwa mambo ambayo anaona kabisa yanampotezea credit kwa wananchi na hii inanipa picha ya kwamba kuna watendaji wa ngazi za juu kabisa wanamdharau Mama yetu huyu.
Nihitimishe kwa kusema awe makini na washauri wake maana wamegundua mama ni mpole na ni mgumu wa kuchukua maamuzi.
Umeme tulikuwa hatu lali giza, Agrecco, Symbion, iptl kampun zote za kitapel alifukuza na umeme ukawepo, na wagonjwa wa kwenda India walipungua %99 na Marehem Dk mengi akapunguziwa mzigo wa kusafirisha wagonjwa kwenda nje, na hospital mama zetu na dada zetu waliacha kujifungulia chini ya sakafu, na kulala kitanda kimoja wajawazito 6Alisimamia mradi gani wa kimkakati ukakamilika?
Hawa ogopi yeye hajui anzie wapi na tatizo hatumii akili yakeKwahiyo mama samia anawaogopa? Hii nchi punda bado wengi aisee