..Ubora wa vifaa vinavyonunuliwa uendane na reli inayojengwa kwa sababu miezi michache niliyokaa serikali, nimeona mambo mengi sana ambayo huko nyuma yalikuwa hayafanyiki lakini sasa yanataka kufanyika, sitakubaki yafanyike”
Hii kauli ya Samia inaibua maswali mengi kuhusu utendaji wa Serikali. Je ni Kweli Samia amekaa serikalini miezi michache? Je makamu wa Rais hawi kwenye serikali tawala? Hayo mambo ambayo yalikuwa hayafanyiki huko nyuma kwanini yaanze kufanyika sasa? Kwanini atangaze hadharani kama kweli hatakubali yafanyike badala ya kuchukua hatua kimyakimya?
IT is unfortunate kuwa washauri wake hawamuambii kuwa vitu anavyofanya vinaonesha kuwa hana ujasiri wa kuchukua hatua dhidi ya wahusika wa mambo maovu yanayofanywa na wasaidizi wake!! It doesn't augur well for her.