Uchaguzi 2020 Kwa kauli hizi za Dkt. Magufuli, Je atakuwa tayari kuachia madaraka kama atashindwa Uchaguzi?

Jikite kwenye hoja!Hivi hoja aliyoleta mtoa mada na majibu yako vina uhusiano wowote?
Vina mahusiano ndio.Magufuli anauhakika wa kurudi madarakani kwa vyovyote vile kwa sababu kashikampini.
akiamua mpate wabunge wawili ashindwi.
 
Chadema wakishinda hifadhi za taifa zitakuwa mapori ya kuchungia ng'ombe

Kuna hifadhi hazina faida yoyote!Ni mapori tu na hayatumiki,sasa kwanini usiangalie ni mapori yapi unaweza kuruhusu wafugaji kulishia mifugo?

Au hujui hata serikali yako huwa inabadili matumizi na ya hifadhi na kuwapa wananchi au wawekezaji?

Yaani hapo umeona kutoa hifadhi kwa ajili ya mifugo ni jambo jipya sana!!

Ndio tatizo la kutokuwa na taarifa za mambo yanayofanyika nchini kwako kwa uvivu wako!Mwisho wa siku unashiriki mjadala ukiwa hujui unachochangia!
 
KWA HERUFI KUBWA HATUWEZI KUJADILI KITU AMBACHO HAKIPO MAGUFULI HASHINDWI URAIS HIVYO KUJADILI JAMBO HILO NI KUPOTEZA MUDA NA MB ZA WADAU.
 
Chadema mna mambo ya kike sana... Pambaneni nyie si ni makamanda sasa mnalialia nin?
Mnapotoa hizi kauli muwe mnajiuliza mara mbili, maana unaweza kuta Mshana Jr au BAK baba yako, usipende kutukana hovyo. Kuwa na staha hata kama mnatofautiana itikadi.
 
Mnapotoa hizi kauli muwe mnajiuliza mara mbili, maana unaweza kuta Mshana Jr au BAK baba yako, usipende kutukana hovyo. Kuwa na staha hata kama mnatofautiana itikadi.
acha kujipendekeza kwa wanaume wenzio. ungekaa kimya pia ungeonekana una busara.
 
unafikiri atasemaje wakati wa kujinadi?!? hizi ni kampeni lazima uvutie kwako hakuna mgombea atamsifia mgombea mwenzake!!!!!!
 
kuachia madaraka ? hivi unaamini kabisa ccm itashindwa 2020 ? kwa style hii ya kampeni za CHADEMA surely I don't think so
 
Mkuu aliteleza kwa kuwa ni binadamu tunakoseaga wakati mwingine
 
Sam
Damu ya lissu inamsumbua
 
Tatizo lako ni dogo Sana!! Ukifikisha miaka 15 utaelewa hayo mambo,

Mtoto mzuri, Kuna ule ukuta wa merelani ulijengwa na huyo unayeuliza habari zake Kwa Nia hiyohiyo unayouliza, kumejengwa masoko ya Dhahabu na madini karibu nchi nzima, kunatochi karibu barabara zote kubwa za mikoani zinazochunguza utoroshaji wa madini na maliasili zetu
Hivi raslimali za taifa huyo malaika wenu aliwahi kuzitetea lini?
 
Mheshimiwa huyu anazingua sana,wakati yupo na singeli/katikati ya sherehe baadhi ya Wananchi wa Tanzania wananyimwa Haki na wasaidizi wake nchi nzima.
Kwa hapa alipotufikisha bado anajiona ndiye kiongozi bora,sifahamu huwa anafanyia wapi hizi tathmini zake!
Twendeni na Mh.Lissu.Ni yeye 2020.
 
Sio Magufuli tu, ni raia sote wenye akili timamu hatutaruhusu nchi iingie kwenye mikono ya madalali wa mzungu na msimulia hadithi za mauaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…