Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 675
- 690
Chadema wakishinda hifadhi za taifa zitakuwa mapori ya kuchungia ng'ombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vina mahusiano ndio.Magufuli anauhakika wa kurudi madarakani kwa vyovyote vile kwa sababu kashikampini.Jikite kwenye hoja!Hivi hoja aliyoleta mtoa mada na majibu yako vina uhusiano wowote?
Ndio swali analohoji mleta mada!Akishindwa uchaguzi kwenye sanduku la kura atakuwa tayari kuachia madaraka?Vina mahusiano ndio.Magufuli anauhakika wa kurudi madarakani kwa vyovyote vile kwa sababu kashikampini.
akiamua mpate wabunge wawili ashindwi.
Wapiga kura bado kuamua .Chadema mtasemaje mmeshinda uchaguzi ilhali wabunge wenumwaka huu hawatozidi watano?
Chadema wakishinda hifadhi za taifa zitakuwa mapori ya kuchungia ng'ombe
KWA HERUFI KUBWA HATUWEZI KUJADILI KITU AMBACHO HAKIPO MAGUFULI HASHINDWI URAIS HIVYO KUJADILI JAMBO HILO NI KUPOTEZA MUDA NA MB ZA WADAU.Ndugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo.
Kwa kauli hizi inaonyesha wazi, kwamba Magufuli yeye tu ndio mtakatifu na mwaminifu, ila wagombea wengine ni matapeli na waongo. Sasa swali langu ni hili je hao matapeli na waongo wakichaguliwa na wananchi yeye atakubali kuachia madaraka?
Ukiangalia kwa undani utagundua kuwa ndugu yetu anaamini peke yake ndiye anayestahili kuliko wananchi wengine wote. Kama wananchi wameona hao ni watu sahihi wewe ni nani hata useme ni matapeli? Je hii siyo dalili ya kubaki madarakani kwa nguvu? Nini maana ya Uchaguzi? Kwani taifa linakuwa tu salama likiwa mikononi mwake?
Je hili taifa siyo mali ya Mungu? Ni nani anayeweza kulifanya taifa liwe salama zaidi ya Mungu?
Naomba tujadili maana hii kauli imenishitua sana.
Tutaunda serikali ya msetoChadema mtasemaje mmeshinda uchaguzi ilhali wabunge wenumwaka huu hawatozidi watano?
Labda uwe mseto dawa ya maralia ila,siomseto wa kuunda serikali.
Kwa kuangalia tu uitikio wa wananchi kwenye mikutano ya JPM ni wazi wananchi washaamua kwenda na Magufuli.Wapiga kura bado kuamua .
kuachia madaraka ? hivi unaamini kabisa ccm itashindwa 2020 ? kwa style hii ya kampeni za CHADEMA surely I don't think soNdugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo.
Kwa kauli hizi inaonyesha wazi, kwamba Magufuli yeye tu ndio mtakatifu na mwaminifu, ila wagombea wengine ni matapeli na waongo. Sasa swali langu ni hili je hao matapeli na waongo wakichaguliwa na wananchi yeye atakubali kuachia madaraka?
Mkuu aliteleza kwa kuwa ni binadamu tunakoseaga wakati mwingineNdugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo.
Kwa kauli hizi inaonyesha wazi, kwamba Magufuli yeye tu ndio mtakatifu na mwaminifu, ila wagombea wengine ni matapeli na waongo. Sasa swali langu ni hili je hao matapeli na waongo wakichaguliwa na wananchi yeye atakubali kuachia madaraka?
Ukiangalia kwa undani utagundua kuwa ndugu yetu anaamini peke yake ndiye anayestahili kuliko wananchi wengine wote. Kama wananchi wameona hao ni watu sahihi wewe ni nani hata useme ni matapeli? Je hii siyo dalili ya kubaki madarakani kwa nguvu? Nini maana ya Uchaguzi? Kwani taifa linakuwa tu salama likiwa mikononi mwake?
Je hili taifa siyo mali ya Mungu? Ni nani anayeweza kulifanya taifa liwe salama zaidi ya Mungu?
Naomba tujadili maana hii kauli imenishitua sana.
Damu ya lissu inamsumbuaNdugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo.
Kwa kauli hizi inaonyesha wazi, kwamba Magufuli yeye tu ndio mtakatifu na mwaminifu, ila wagombea wengine ni matapeli na waongo. Sasa swali langu ni hili je hao matapeli na waongo wakichaguliwa na wananchi yeye atakubali kuachia madaraka?
Ukiangalia kwa undani utagundua kuwa ndugu yetu anaamini peke yake ndiye anayestahili kuliko wananchi wengine wote. Kama wananchi wameona hao ni watu sahihi wewe ni nani hata useme ni matapeli? Je hii siyo dalili ya kubaki madarakani kwa nguvu? Nini maana ya Uchaguzi? Kwani taifa linakuwa tu salama likiwa mikononi mwake?
Je hili taifa siyo mali ya Mungu? Ni nani anayeweza kulifanya taifa liwe salama zaidi ya Mungu?
Naomba tujadili maana hii kauli imenishitua sana.
Hivi raslimali za taifa huyo malaika wenu aliwahi kuzitetea lini?
Mheshimiwa huyu anazingua sana,wakati yupo na singeli/katikati ya sherehe baadhi ya Wananchi wa Tanzania wananyimwa Haki na wasaidizi wake nchi nzima.Ndugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo.