Uchaguzi 2020 Kwa kauli hizi za Dkt. Magufuli, Je atakuwa tayari kuachia madaraka kama atashindwa Uchaguzi?

huyo bibi wa cdm atakubali kushindwa baada ya kusema wataandamana?
 
Unaleta post ambayo haiendani na hali halisi. Eti akishindwa uchaguzi ! JPM ashindwe uchaguzi ? We vipi ?
 
CHADEMA mtasemaje mmeshinda uchaguzi ilhali wabunge wenumwaka huu hawatozidi watano?
Kwa kuwa wewe ni mmoja ila una nafsi milioni 29 sio??kwamba wewe ndo utaamua nani awe nani?Kuna kutu kwenye ubongo wako na inahitaji kusuguliwa na steel wire.Changamka..
 
Unaleta post ambayo haiendani na hali halisi. Eti akishindwa uchaguzi ! JPM ashindwe uchaguzi ? We vipi ?

Una akili ndogo kwani JPM ni Mungu ambaye hawezi kushindwa?
 
Aliapa kulinda nchi huyo hawezi kukubali aiche kwa vibaraka wa mabeberu
 
Wakati mmoja nilisoma pahala kwamba si malaria tu inayoweza kupanda kichwani. Hata kaswende.
 
Mpe kura Magufuli achana na wana saccos waliojaa porojo tu.
 
Kama akishindwa kihalali ni lazima aondoke vyenginevyo JWTZ watatumika kumuondoa kwa heshima zote,labda Afande Siro amkingie kifua. Maana FFU wakali sana.
 
Kwanini tunapoteza mabilioni kwenye kampeni na kugharamia tume ya uchaguzi kama kiongozi ameshajichagua?
Jamaa kwenye kampeni ya kuomba kura apate urais, badala ya kuomba kura apate urais, anaanza kutuambia atampakazi Tundu Lissu, Masele atampa ubalozi au ukuu wa mkoa.

Yani kashasahau kwamba hajashinda urais bado!
 
Hivi, itokee kashindwa kwenye sanduku la kura, kuna namna anaweza kuachia madaraka kwa amani huyu mheshimiwa?
 
Hivi kweli unaweza kulinganisha IQ ya Lissu na Jiwe? You must be joking my friend
IQ ya Lissu ni kubwa sana nakubali. Lakini kwa mazingira tuliyonayo sasa ni mazingira hafifu sana hasa kwa vyama vya upinzani. Jiwe kawabana sana kwa sheriz zilizotungwa kwa kipindi chake cha miaka mitano. We chunguza tu utakuja kuniambia rafiki
 
huyo bibi wa cdm atakubali kushindwa baada ya kusema wataandamana?

Tatizo mmeshamfanania malaika wenu, mmekuwa mkibadilisha sana alichokisema sana kauli za watu. Lissu alisema mkipokonya ushindi wake kwa kuiba kura ataingiza barabarani sasa mmekazana kubadilisha ukweli.
 
ushindi gan anaoongelea sasa maaana hata yeye mwenyewe anajua hawezi shinda, so directly ni kitu kile kile
 
Mwaka huu chadema wanaenda kupokea kipigo cha Mbwa mwizi .

Kwa luga nyingine kipigo kitakatifu na hawatakuja kusahau maishani mwao.
Utasikia CCM wameshinda kwa landslide victory..
tenga chumba kimoja cha mashaka
 
Jamaa kwenye kampeni ya kuomba kura apate urais, badala ya kuomba kura apate urais, anaanza kutuambia atampakazi Tundu Lissu, Masele atampa ubalozi au ukuu wa mkoa.

Yani kashasahau kwamba hajashinda urais bado!
Keshashinda huyo, nani amshinde ?
 
Nani aingie barabarani, labda yeye na CHADEMA wenzie
Tatizo mmeshamfanania malaika wenu, mmekuwa mkibadilisha sana alichokisema sana kauli za watu. Lissu alisema mkipokonya ushindi wake kwa kuiba kura ataingiza barabarani sasa mmekazana kubadilisha ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…