Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo.
Kwa kauli hizi inaonyesha wazi, kwamba Magufuli yeye tu ndio mtakatifu na mwaminifu, ila wagombea wengine ni matapeli na waongo. Sasa swali langu ni hili je hao matapeli na waongo wakichaguliwa na wananchi yeye atakubali kuachia madaraka?
Ukiangalia kwa undani utagundua kuwa ndugu yetu anaamini peke yake ndiye anayestahili kuliko wananchi wengine wote. Kama wananchi wameona hao ni watu sahihi wewe ni nani hata useme ni matapeli? Je hii siyo dalili ya kubaki madarakani kwa nguvu? Nini maana ya Uchaguzi? Kwani taifa linakuwa tu salama likiwa mikononi mwake?
Je hili taifa siyo mali ya Mungu? Ni nani anayeweza kulifanya taifa liwe salama zaidi ya Mungu?
Naomba tujadili maana hii kauli imenishitua sana.
Kwa kuwa wewe ni mmoja ila una nafsi milioni 29 sio??kwamba wewe ndo utaamua nani awe nani?Kuna kutu kwenye ubongo wako na inahitaji kusuguliwa na steel wire.Changamka..CHADEMA mtasemaje mmeshinda uchaguzi ilhali wabunge wenumwaka huu hawatozidi watano?
Unaleta post ambayo haiendani na hali halisi. Eti akishindwa uchaguzi ! JPM ashindwe uchaguzi ? We vipi ?
Nimekuuliza ashindwe uchaguzi na nani ? Mbona unajitoa ufahamu. Jibu swali.Una akili ndogo kwani JPM ni Mungu ambaye hawezi kushindwa?
Kunywa kwanza juisi ya ndimu maana umepanic hatari mpaka unaandika kama mtoto wa chekechea hata hueleweki,ukishajifunza kuandika urudi hapa haraka tuendelee.
Kingine ni kuwa nimeona nime-hit direct to the point,wewe kweli ni shoga mpenda biriani,sio kwa kupanic huko. Tulia tuu utetewe na uanze kufurahi maana wewe nae ni member huko LGBT.
Mpe kura Magufuli achana na wana saccos waliojaa porojo tu.Ndugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo.
Kwa kauli hizi inaonyesha wazi, kwamba Magufuli yeye tu ndio mtakatifu na mwaminifu, ila wagombea wengine ni matapeli na waongo. Sasa swali langu ni hili je hao matapeli na waongo wakichaguliwa na wananchi yeye atakubali kuachia madaraka?
Ukiangalia kwa undani utagundua kuwa ndugu yetu anaamini peke yake ndiye anayestahili kuliko wananchi wengine wote. Kama wananchi wameona hao ni watu sahihi wewe ni nani hata useme ni matapeli? Je hii siyo dalili ya kubaki madarakani kwa nguvu? Nini maana ya Uchaguzi? Kwani taifa linakuwa tu salama likiwa mikononi mwake?
Je hili taifa siyo mali ya Mungu? Ni nani anayeweza kulifanya taifa liwe salama zaidi ya Mungu?
Naomba tujadili maana hii kauli imenishitua sana.
Yeye ndio mzalendo peke yake wengine wote ni matapali
Kama kweli vileWatanzania tujiandae tu na sisi tumepata mu7 wetu
Jamaa kwenye kampeni ya kuomba kura apate urais, badala ya kuomba kura apate urais, anaanza kutuambia atampakazi Tundu Lissu, Masele atampa ubalozi au ukuu wa mkoa.Kwanini tunapoteza mabilioni kwenye kampeni na kugharamia tume ya uchaguzi kama kiongozi ameshajichagua?
Hivi, itokee kashindwa kwenye sanduku la kura, kuna namna anaweza kuachia madaraka kwa amani huyu mheshimiwa?Jamaa kwenye kampeni ya kuomba kura apate urais, badala ya kuomba kura apate urais, anaanza kutuambia atampakazi Tundu Lissu, Masele atampa ubalozi au ukuu wa mkoa.
Yani kashasahau kwamba hajashinda urais bado!
Watanzania tujiandae tu na sisi tumepata mu7 wetu
IQ ya Lissu ni kubwa sana nakubali. Lakini kwa mazingira tuliyonayo sasa ni mazingira hafifu sana hasa kwa vyama vya upinzani. Jiwe kawabana sana kwa sheriz zilizotungwa kwa kipindi chake cha miaka mitano. We chunguza tu utakuja kuniambia rafikiHivi kweli unaweza kulinganisha IQ ya Lissu na Jiwe? You must be joking my friend
huyo bibi wa cdm atakubali kushindwa baada ya kusema wataandamana?
Tatizo mmeshamfanania malaika wenu, mmekuwa mkibadilisha sana alichokisema sana kauli za watu. Lissu alisema mkipokonya ushindi wake kwa kuiba kura ataingiza barabarani sasa mmekazana kubadilisha ukweli.
Utasikia CCM wameshinda kwa landslide victory..Mwaka huu chadema wanaenda kupokea kipigo cha Mbwa mwizi .
Kwa luga nyingine kipigo kitakatifu na hawatakuja kusahau maishani mwao.
Keshashinda huyo, nani amshinde ?Jamaa kwenye kampeni ya kuomba kura apate urais, badala ya kuomba kura apate urais, anaanza kutuambia atampakazi Tundu Lissu, Masele atampa ubalozi au ukuu wa mkoa.