Kwa kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wenye degree kwenda VETA, Likud apewe unabii

Chukueni fomu za VETA asee mambo yasiwe mengi lakini kama mna Masters na kuendelea nadhani mnaweza kuwa na amani maana VETA ni kwa wenye degree moja tu
 
Ndio maana Likud kasema kwa, wazazi wenye vipato vya chini ambao wana jistress kusomesha Ems
I get it ila hata wa vipato vya chini hivo hivo wanachechemea ingawa kwa mateso ya mikopo umiza, ila sometimes inabidi kuwaelewa kuna sababu ambazo yeye anaamini ni za msingi kwanini ateseke ilihali kuna elimu ya bure ya jamhuri
 
Hiyo money inayotakiwa kuwa na value huwa inatolewa na nani? Mtoaji hana hela? Yaani ni sawa na kumwambia mtu kuwa unywaji wa bia hauna value for money kwa kuwa ina bei kubwa kuliko maji ya kiasi hicho hicho. Sasa anayekunywa bia si ndio mtoa hela?
 
Aisee
 
I get it ila hata wa vipato vya chini hivo hivo wanachechemea ingawa kwa mateso ya mikopo umiza, ila sometimes inabidi kuwaelewa kuna sababu ambazo yeye anaamini ni za msingi kwanini ateseke ilihali kuna elimu ya bure ya jamhuri
Kulipia mamilioni elimu ya mtaala wa Veta ni uwendawazimu
 
Kwanza mtoto alikeketwa sijui au sijui alifanyiwa tohara tayari? Ulipata hospital gani?
 
Tanzania hakuna kinachoshindikana, unaweza kukuta LIKUD ndiye Kassim Majaliwa.
 
Likud ni kama Nuhu alikuwa anawaambia watu waingie kwenye safina wakawa wana muona namna gani
Kabisa.

Sasa hivi wazazi kibao wanawatoa watoto wao shule za Ems wanawarejesha St. Kayumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…