Haya matamko ya kisiasa baada ya kuona tatizo yataleta shida sana baadae. Yale yale ya bodaboda, baada ya muda tunapewa taarifa vijana zaidi ya 700 wameathirika vibaya na ajali za bodaboda. Lakini walipoambiwa bodaboda ni tatizo, wakajitokeza wanadai wanajenga na kusomesha wototo shule nzuri kwa kutemea bodaboda.