Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
- Thread starter
- #21
Sawa mkuu, ni kwanini mbowe na wenzake wameachiwa ikiwa mahakama hizitumiki kisiasa, vipi kesi ya huyo mdude? Umesahau kesi za kina Abdul Nondo na Eric kabendela? Unakumbuka kesi ya Sugu?Mahakama hazitakiwi kutumiwa kisiasa, kesi ipelekwe mahakamani ushahidi upatikane mtu ahukumiwe kutokana na makosa yake, sio vinginevyo, hivyo usitake Sabaya aachiwe kwasababu ya kauli ya Mdude unakosea.
Kwahiyo JPM hakuwabambikia watu kesi ila tu zilikuwa porojo za kisiasa tu?.