Sawa mkuu, ni kwanini mbowe na wenzake wameachiwa ikiwa mahakama hizitumiki kisiasa, vipi kesi ya huyo mdude? Umesahau kesi za kina Abdul Nondo na Eric kabendela? Unakumbuka kesi ya Sugu?Mahakama hazitakiwi kutumiwa kisiasa, kesi ipelekwe mahakamani ushahidi upatikane mtu ahukumiwe kutokana na makosa yake, sio vinginevyo, hivyo usitake Sabaya aachiwe kwasababu ya kauli ya Mdude unakosea.
..mae mtaishia hivohivo ''MWENDAZAKE'' MWENDAZAKE keshakwanyuliwa mhutu wenuKama mama alikuwa ana mpango wa kukutana na wapinzani itakuwa ngumu Sana Kwa kauli ya Jana aliyoitoa mbowe!!!
Kwa kifupi mbowe amekosea Sana kupiga mikwala ya kishamba ya kudai katiba mpya Kwa kuingia barabaran.... kipindi cha mwendazake mbowe alitulia Tu
Labda kama hakuwa tu na mpango wa kukutana na hao wapinzani lakini eti kusema eti sababu ndo iwe hiyo kauli?! Kimsingi, ni SSH ndie amechochea...Kama mama alikuwa ana mpango wa kukutana na wapinzani itakuwa ngumu Sana Kwa kauli ya Jana aliyoitoa mbowe!!!
Kwa kifupi mbowe amekosea Sana kupiga mikwala ya kishamba ya kudai katiba mpya Kwa kuingia barabaran.... kipindi cha mwendazake mbowe alitulia Tu
Hapa unamaanisha serikali huingilia maamuzi ya mahakama, nakubaliana nawe, lakini jambo hili linatakiwa kupigwa vita na kila mpenda nchi.
Kwa kauli zenu mnaonesha dhahiri mnavyoingiza siasa kwenye kesi iliyoko mahakamani kwa ajili ya uamuzi, sijaona uhusiano wa kauli ya Mdude na suala la Sabaya lililoko mahakamani, bado nioneshe vizuri.
Mwisho kabisa, kesi ya Sabaya imeshaonesha muelekeo mbaya pale wanapokuwepo "vibaraka" wa kumshangilia nje ya jengo la mahakama kwa lengo la kumfanya aonekane "shujaa" wenu, hapa usisingizie kauli aliyoitoa Mdude jana.
Chadema nimewapigia Kura tokea 2005 Hadi Leo Ila Leo Kwa mara ya Kwanza ninapinga kauli za mbowe mbona kipindi cha mwendazake mbowe alitulia TuLabda kama hakuwa tu na mpango wa kukutana na hao wapinzani lakini eti kusema eti sababu ndo iwe hiyo kauli?! Kimsingi, ni SSH ndie amechochea...
Hana mamlaka ya kupangia watu mipaka ya kufanya mikutano, lakini yeye anatamka hadharani kwamba ni marufuku watu kufanya siasa nje ya majimbo yao!! Katoa wapi mamlaka ya kuvunja Sheria ya Vyama vya Upinzani?!
Nimesema hivi mkulu akitaka jambo lake hata wewe hapo unaweza pata kesi ya uhujumu uchumi muda wowote ule unalijua hilo mkuu?Sawa, tuseme Sabaya anaweza kuachiwa kwa kile unachoamini huenda alikuwa anararuriwa kweli kweli na Mbowe!!!
Kwahiyo na zile kesi za uhujumu uchumi zinazomhusu Sabaya na zenyewe zimetokana na "kuraruriwa raruriwa na Mbowe", au?!
Ni suala la muda tu na kujipa subira kidogo tutajionea kwa macho yetu Mungu akitupa uzima.
Jana tulishuhudia mh. Mbowe akitamka kauli tata zenye vitisho na amri dhidi ya Rais wa nchi.
Swali jiulize kama Rais wa nchi anatamkiwa maneno kama yale hadharani je vipi kuhusu mkuu wa wilaya tena pale nyumbani kwake Hai hali ilikuwaje kwake?
Matusi mangapi aliyoyaoga Sabaya ikiwa tu Rais wa nchi haheshimiwi hata kidogo?
Ukiangalia kauli za Mdude CHADEMA eti alimnyoa mwendazake na sasa atamnyoa mama akileta jeuri hapo utajiuliza alimyoaje mwendazake na huyu mama nae atanyolewa vipi?
Yeye ndio alimtoa madarakani kwa kumnyoa hadi kufa sivyo?
Ni kipi hasa mama anachotakiwa kumtii mdude/mnyoaji kwa heshima zote ili asinyolewe?
Ni wazi kuongoza watu wa namna hii inahitaji kiwango cha juu sana chauvumilivu.
Ukiunganisha matukioa ya kesi ya Sabaya.
Kuachiwa Mdude.
Kutumbua baadhi ya watumishi wa enzi za JPM.
Kufutwa kwa kesi ya Mbowe na wenzake utagundua kuwa ulikiwa mkakati maalumu wa mama kutaka kuwaridhisha wapinzani kwa kuwapa matumaini ya utawala mpya lakini kwa hiki wanachokifanya kwasasa hata ile kafara ya Sabaya iliyotaka kutolewa Kama sadaka ya kuwatuliza muda si mwingi itaghairishwa.
Kesi ya huyu mtu imekaa kisiasa sana na nguvu kuwa sana inatumika dhidi yake kutoka fulani wenye hasira na visasi vikubws ndani ya mioyo yao kuliko uhalisia wa aliyo yatenda.
Nadhani sasa mama Kesha wajua vizuri watu aliotaka kuwafurahisha ni watu wa namna gani.
Tujiandae Sabaya kuwa huru hivi karibuni kafara yake imekataliwa.
Wanachopigania Chadema & co ni kuondoa haya uliyaorodhesha hapa chini 👇 👇 yasitokane na utashi wa rais aliyeko madarakani bali yatokane na mwongozo wa katiba.Ni suala la muda tu na kujipa subira kidogo tutajionea kwa macho yetu Mungu akitupa uzima.
Jana tulishuhudia mh. Mbowe akitamka kauli tata zenye vitisho na amri dhidi ya rais wa nchi.
Swali jiulize Kama rais wa nchi anatamkiwa maneno kama yale hadharani je vipi kuhusu mkuu wa wilaya tena pale nyumbani kwake Hai hali ilikuwaje kwake?
Matusi mangapi aliyo yaoga sabaya ikiwa tu rais wa nchi haheshimiwi hata kidogo?
Ukiangalia kauli za mdude chadema eti alimnyoa mwendazake na sasa atamnyoa mama akileta jeuri hapo utajiuliza alimyoaje mwendazake na huyu mama nae atanyolewa vipi?
Yeye ndio alimtoa madarakani kwa kumnyoa hadi kufa sivyo?
Ni kipi hasa mama anachotakiwa kumtii mdude/mnyoaji kwa heshima zote ili asinyolewe?
Ni wazi kuongoza watu wa namna hii inahitaji kiwango Cha juu sana chauvumilivu.
Ukiunganisha matukioa ya kesi ya sabaya.
Kuachiwa Mdude.
Kutumbua baadhi ya watumishi wa enzi za JPM.
Kufutwa kwa kesi ya Mbowe na wenzake utagundua kuwa ulikiwa mkakati maalumu wa mama kutaka kuwaridhisha wapinzani kwa kuwapa matumaini ya utawala mpya lakini kwa hiki wanachokifanya kwasasa hata ile kafara ya Sabaya iliyotaka kutolewa Kama sadaka ya kuwatuliza muda si mwingi itaghairishwa.
Kesi ya huyu mtu imekaa kisiasa sana na nguvu kuwa sana inatumika dhidi yake kutoka fulani wenye hasira na visasi vikubws ndani ya mioyo yao kuliko uhalisia wa aliyo yatenda.
Nadhani sasa mama Kesha wajua vizuri watu aliotaka kuwafurahisha ni watu wa namna gani.
Tujiandae Sabaya kuwa huru hivi karibuni kafara yake imekataliwa.
Ukiunganisha matukioa ya kesi ya sabaya.
Kuachiwa Mdude.
Kutumbua baadhi ya watumishi wa enzi za JPM.
Kufutwa kwa kesi ya Mbowe na wenzake utagundua kuwa ulikiwa mkakati maalumu wa mama kutaka kuwaridhisha wapinzani kwa kuwapa matumaini ya utawala mpya lakini kwa hiki wanachokifanya kwasasa hata ile kafara ya Sabaya iliyotaka kutolewa Kama sadaka ya kuwatuliza muda si mwingi itaghairishwa.
Kesi ya huyu mtu imekaa kisiasa sana na nguvu kuwa sana inatumika dhidi yake kutoka fulani wenye hasira na visasi vikubws ndani ya mioyo yao kuliko uhalisia wa aliyo yatenda.
Mmh Kaka ukizungumzia kunyofolewa kwa uelewa wangu mtu yeyote yule anaweza kunyofolewa wakati wowote ule au tuseme wanao kufa ni wale wenye madhambi mengi kuliko wengine ndo mana mimi na wewe tu wazima sababu hatuna dhambi/makosa yoyote?endelea kuchochea ila mtambue MHUTU wenu keshanyofolewa na harudi milele
Hapa umezungumzia point kubwa sana, swala la uwizi wa mafuta siyo ya kukaliwa kimya namna hiiMtu akiangalia jinsi ulivyoandika gazeti anaweza kudhani umeandika kitu cha maana. Huyo mama kipimo cha uwezo wake ni pale atakapokuwa anashindana na maneno ya wanasiasa wenzake? Nilitarajia nione nguvu ya mama kutaka kujua ni akina nani wamejiunganishia bomba la mafuta na kuwachukulia hatua, badala yake unataka mama aonyeshe hachezewi kwa kupambana na mashairi ya wanasiasa wenye makovu ya kuonewa! Acha mada za kitoto boss.
Nafurahi sana kukuona hapa mkuu salama lakini.Mtu akiangalia jinsi ulivyoandika gazeti anaweza kudhani umeandika kitu cha maana. Huyo mama kipimo cha uwezo wake ni pale atakapokuwa anashindana na maneno ya wanasiasa wenzake? Nilitarajia nione nguvu ya mama kutaka kujua ni akina nani wamejiunganishia bomba la mafuta na kuwachukulia hatua, badala yake unataka mama aonyeshe hachezewi kwa kupambana na mashairi ya wanasiasa wenye makovu ya kuonewa! Acha mada za kitoto boss.