Kwa kauli za Mbowe na Mdude ni wazi Ole Sabaya ataachiwa huru

Eti sabaya kalawiti wanawake 40,kaenda kupora vi laki sijui vi elfu ngap,Afu machizi kama nyinyi mmekaa mnasubiri mpeleke ushahidi.
Yani kesi imekaa kihuni huni tu,Mabwana wakubwa nyinyi wachaga ni washamba sana now days
 
Mama alilikoroga mwenyewe. Wana CCM tulimtahadharisha kuwa hao jamaa hawaaminiki. Yeye akawakumbatia. Wacha sisi tuendelee kuangalia tu. Ila tutabaki tunaitetea CCM.
 
Mbona kama hii kesi ya Ole Sabaya ina usanii usanii sana?
 
SSH akutane na Upinzani....Mbowe awe na busara amheshimu Mama
 
Mama alijua anaonewa sababu hakuwa mtendwa saiv yeye ndio anatendwa tena mchana kweupe bila uwoga.
Pole mama ulitaka kubeba gunia la misumari acha ikuchome taratibu mpaka akili ikukae sawa.
 
Hawa wanaohatarisha usalama wa nchi kwa nini wasipigwe ndani ,Mbona Ethiopia wameweza? Hata Abiy alipoingia aliwaachia lakini nyodo zilipoanza wakapigwa chuma tuu na maisha yanasonga.

Wazungu wanachotaka ni maslahi yao ya kiuchumi yalindwe,Maza weka mazingira mazuri ya biashara tuu ila Hawa wanasiasa uchwara piga Pini tuu kwani Museveni anawafanyaje? Uchumi ulishuka?
 
Tatizo la mama kila akipanda jukwani ana kauli yake moja
"mimi ni mama"
kumbe hawa punguani hawaendi hivo.
 
Eti sabaya kalawiti wanawake 40,kaenda kupora vi laki sijui vi elfu ngap,Afu machizi kama nyinyi mmekaa mnasubiri mpeleke ushahidi.
Yani kesi imekaa kihuni huni tu,Mabwana wakubwa nyinyi wachaga ni washamba sana now days
Kwenye hii kesi Kuna mambo ya ajabu sana mkuu!
 
[emoji1787][emoji1787] Sasa mkuu utamfanya nini unadhani mbona yule Makondakta wa daladala anadunda mtaani wakati alipigwaga ban hadi na Pompoe?
Makondakta hajawahi kukata watu masikio, Kula wake/mademu za watu Kwa nguvu, kupora hela Kwa nguvu n.k
 
Nimegundua siku hizi kuna watu hawajui hata mgawanyo huru kati ya mahakama, dola na bunge alafu wanakua wachambuzi wa siasa. Kama huyu jamaa mwenye uzi huu anataka kutuambia Raisi au Dola inaweza kuingilia uhuru wa mahakama alafu iwe poa tu. Ivyo kumbe tukiunganisha na matukio ya watu kubambikiziwa kesi utaona nchi hii mahakama haiko huru mbele ya dola yaani mfano Raisi anaweza kuamua nani ashinde kesi au afungwe. Shame on you
 
Sasa mkuu, hebu kuwa mkweli we unaamini mahakama za Tanzania zipo huru na zinatenda haki?
Unaamini kuwa watu hawabambikwi kesi?
 
Sasa mkuu hata hilo la ujambazi wa kutumia silaha ambalo cctv camera zipo zinalionyesha nalo ni la kisiasa?!!acheni mambo ya kipuuzi!!ataachiwa tu endapo ushahidi utakuwa haujitoshetezi lakini sio kwa kuwa wengine wamefutiwa kesi na yeye ndio aachiwe!!
 
Tusubiri muda utaongea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…