Kwa kelele hizi za Mbwa nadhani Jobo haipo mbali sana

Acha kije, tumpime mama anaweza vp kukabiliana na majanga. Maana kama jiwe angekuwepo angewaambia wana darsalam na wa huko kusini kwqmba kwenye ilani ya ccm hawakusema kwamba wangeleta kimbunga😁😁😁😁

Au naswma uongo ndugu zangu?
 
😂😂😂😂😂😂
 
Nakumbuka kuna chuo fulan walikua wanakunywa ijumaa hahaja wanalewanjad jpl🤣🤣
HiZo kuna wataalam wake wa kuzibeba maana zinaweza geuka bomu aisee,

Halafu mtaalam akizifikisha ujira wake anapewa moja au mbili ya kuzimua.
 
Jihadhari na Jobo bibie.. si unajua bado nna ndoto za kukuona?
Yaani niko bed nnamalizia wine hapa taratiibu nilale...i wish unifundishe fx mzee baba...ila ss sina muda sana wa kufatilia hayo masoko yenu....sijui unanishaurije msukuma niliyebak chapa chato🤣
 
Yaani niko bed nnamalizia wine hapa taratiibu nilale...i wish unifundishe fx mzee baba...ila ss sina muda sana wa kufatilia hayo masoko yenu....sijui unanishaurije msukuma niliyebak chapa chato🤣
Usijali tutafanya zoom meeting.. utajifunza taratibu.. trading fx is an art
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…