Kwa kelele hizi za Mbwa nadhani Jobo haipo mbali sana

Kwa kelele hizi za Mbwa nadhani Jobo haipo mbali sana

Wakuu,

Naona mbwa wako very uneasy wanabweka sana.

Kwa hulka yao ya kuhisi hatari ikiwa mbali, nadhani Jobo itapita , ni swala la kumuomba Mungu haya yasitokee.
E3772C51-8B45-4F7E-BF84-28C2E1CDC22F.jpeg
 
Haya majina huwa yanatokana na nini? Jobo, Tsunami, Katrina n.k
 
Wakuu,

Naona mbwa wako very uneasy wanabweka sana.

Kwa hulka yao ya kuhisi hatari ikiwa mbali, nadhani Jobo itapita , ni swala la kumuomba Mungu haya yasitokee.
Kipo mlango.
 
Yaani niko bed nnamalizia wine hapa taratiibu nilale...i wish unifundishe fx mzee baba...ila ss sina muda sana wa kufatilia hayo masoko yenu....sijui unanishaurije msukuma niliyebak chapa chato🤣
bestie usijaribu huo utopolo mi mwenzio nilishaupandia hadi ndege na vyeti viko vya kutosha ila sina hamu nimeachwa kama kifaranga kilichomwagiwa mafuta ya meli..
 
Back
Top Bottom