Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hizo nguvu zake za kiume zimepotelea wapi? Au kilipokaribia pwani ya Dar kimeshaleweshwa na harufu ya chips yai rojo?Hahahahaha si nasikia kimekuwa goigoi ghafla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo nguvu zake za kiume zimepotelea wapi? Au kilipokaribia pwani ya Dar kimeshaleweshwa na harufu ya chips yai rojo?Hahahahaha si nasikia kimekuwa goigoi ghafla
🤣🤣🤣 nawaombea wana dar msipatwe na majanga hayo jamani...huenda kikaja kweli..nimecheka jana kuna mmoja kasema kikafukue kaburi chatow...jamani nilichekaaHizo nguvu zake za kiume zimepotelea wapi? Au kilipokaribia pwani ya Dar kimeshaleweshwa na harufu ya chips yai rojo?
Kama nani aliyetusuaLakini kuna watu wanatusua mkuu....
Kuna mjamaa ameacha kazi anacheza na fx tu...sema kama addicted balaa had keroKama nani aliyetusua
huyo si kapata mafao yake ili uone au hela anapata kwenye maforexKuna mjamaa ameacha kazi anacheza na fx tu...sema kama addicted balaa had kero
Naantombe Mushi ww kiwango kikubwa umewah weka ngap ukapata ngapi?huyo si kapata mafao yake ili uone au hela anapata kwenye maforex
hilo jina lake usijaribu akualike akakufundisha hayo maforexNaantombe Mushi ww kiwango kikubwa umewah weka ngap ukapata ngapi?
TMA wamesema Jpili kinatua kwa 60km/hr sasa jidanganyeYaani huyu Jobo mpaka aje kufika pwani yetu atakuwa hoi anaenda 20m/h
Equator inatubeba sana na hizi rare cyclone zimetokea mara mbili tu Tz
yaan huyo sio naantombe asikushawishi kwa zoom wala kwa tango usithubutu.....kama 10 million iliwaka moto....mtu asikuletee bla bla za discipline....yan ntakufuata nikunyang'anye simu ya kutradia ndo utakuwa msaada wangu....hapana bestie siko mgodini nimepumzika kiasi naangalia upepo....wewe je..Naskiaga unavyochoma hela hahahaa ntazimia...uwiii....naogopaa!😆😆 pole...hv bado uko migodini?
Hahahaha aisee...mnawafaidisha balaa ..mie nipo mkuu ...yaan huyo sio naantombe asikushawishi kwa zoom wala kwa tango usithubutu.....kama 10 million iliwaka moto....mtu asikuletee bla bla za discipline....yan ntakufuata nikunyang'anye simu ya kutradia ndo utakuwa msaada wangu....hapana bestie siko mgodini nimepumzika kiasi naangalia upepo....wewe je..
nimekumiss lakini..Hahahaha aisee...mnawafaidisha balaa ..mie nipo mkuu ...
Ninakumiss pia....nimekumiss lakini..
haya ngoja ubize wa mwezi uishe....ntakuja kukuchatisha 🤎Ninakumiss pia....
Tena nataka unisaidie ile ishu tuliyowah ongea....ila unilegezee kias mkuu😊! Kuna advert nataka kuzifanyahaya ngoja ubize wa mwezi uishe....ntakuja kukuchatisha 🤎
Chadema Ni hovyo eti unafikiriUnawaota sana chadema ..mkeo haoni wivu kweli