Kwa kelele hizi za Mbwa nadhani Jobo haipo mbali sana

Kwa kelele hizi za Mbwa nadhani Jobo haipo mbali sana

Hata waliokumbwa na Tsunami December 2004, wanasema mbwa walikuwa wanabweka lakini wenyeji hawakuhisi chochote, tuzidi kuomba heri, mvua tu za msimu zinatupelekesha, sasa hichi kimbunga sijui!🤔

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Yaani huyu Jobo mpaka aje kufika pwani yetu atakuwa hoi anaenda 20m/h
Equator inatubeba sana na hizi rare cyclone zimetokea mara mbili tu Tz
 
Tanzania ni Edeni
IMG-20210423-WA0054.jpg
 
Kwa wale tuliowahi kuishi java indonesia ni vitu vya kawaida tu hivo.
 
Back
Top Bottom