Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Haina shidaa karbu sana.. kwa sababu ndo unaanza kujifunza.. unaweza anza ku practice hata na $50 ukaona namna market inavo workNiandae dollar ngap...naacha wine aisee...kama kunasomeka niingie mazima...muda huo niko free mon ntakuja pm
Karibu wine
🥂Niandae dollar ngap...naacha wine aisee...kama kunasomeka niingie mazima...muda huo niko free mon ntakuja pm
Karibu wine
Jua kabisa unadeal na msukuma..ntakuja mon mchana ntajibamiza balaa nikiloose🤣!Haina shidaa karbu sana.. kwa sababu ndo unaanza kujifunza.. unaweza anza ku practice hata na $50 ukaona namna market inavo work
Tuendelee kuamini Ivo.....
Lakini by the way tahadhari ni muhimu
Wengine wanatuonea done[emoji29] wanasali huko tupate hilo jobo
Hahahaaaa.. ndo kujifunza huko usijaliJua kabisa unadeal na msukuma..ntakuja mon mchana ntajibamiza balaa nikiloose🤣!
MagogoniJobo imefika wapi?
Wakuu,
Naona mbwa wako very uneasy wanabweka sana.
Kwa hulka yao ya kuhisi hatari ikiwa mbali, nadhani Jobo itapita , ni swala la kumuomba Mungu haya yasitokee.
Kumbe mpaka j3
Kipo mlango.Wakuu,
Naona mbwa wako very uneasy wanabweka sana.
Kwa hulka yao ya kuhisi hatari ikiwa mbali, nadhani Jobo itapita , ni swala la kumuomba Mungu haya yasitokee.
Haya majibu Kama ya psychicZinyweshe k vant zilale😶
bestie usijaribu huo utopolo mi mwenzio nilishaupandia hadi ndege na vyeti viko vya kutosha ila sina hamu nimeachwa kama kifaranga kilichomwagiwa mafuta ya meli..Yaani niko bed nnamalizia wine hapa taratiibu nilale...i wish unifundishe fx mzee baba...ila ss sina muda sana wa kufatilia hayo masoko yenu....sijui unanishaurije msukuma niliyebak chapa chato🤣
Kweli kabisa,kama corona ilivyoishia mipakani haikuingia kwetu.Sie watz hatunaga shida...kitajipitia zake tuliii
Naskiaga unavyochoma hela hahahaa ntazimia...uwiii....naogopaa!😆😆 pole...hv bado uko migodini?bestie usijaribu huo utopolo mi mwenzio nilishaupandia hadi ndege na vyeti viko vya kutosha ila sina hamu nimeachwa kama kifaranga kilichomwagiwa mafuta ya meli..
🤣🤣🤣 may nakuja lazima nimtafte nicheke aise.Haya majibu Kama ya psychic
tuwekeze kwenye vitu vinavyoonekana. huko forex utapigwa sio muda ni Bonanza lililochangamka.Jua kabisa unadeal na msukuma..ntakuja mon mchana ntajibamiza balaa nikiloose[emoji1787]!
Lakini kuna watu wanatusua mkuu....tuwekeze kwenye vitu vinavyoonekana. huko forex utapigwa sio muda ni Bonanza lililochangamka.
🤣🤣🤣 may nakuja lazima nimtafte nicheke aise.
Hahahahaha si nasikia kimekuwa goigoi ghaflaLeo ntakuwa naye tukikikaribisha kimbunga jobo kwa mashamsham