Kwa kichwa cha habari cha gazeti la MWANANCHI la leo Aprili 1, 2022 unajifunza na kugundua nini?

Kwa kichwa cha habari cha gazeti la MWANANCHI la leo Aprili 1, 2022 unajifunza na kugundua nini?

Kuelewa mbongo anataka nini ni kazi kwelikweli.
Kipindi cha JK tulikua tunamponda na kumtukana kwelikweli, majina yote ya hovyohovyo tukampachika tukafikia mpaka kutamani siku moja nchi yetu itawaliwe kidikteta.
Mungu si Athumani akasikia kilio chetu akatuletea Jiwe tena Jiwe kwelikweli hacheki kabisa na kima yoyote, Wabongo tukaanza vilio na kusaga meno, tukampachika majina ya hovyohovyo lakini Mwamba alifunga macho na akaziba kabisa masikio yake.
Kelele zikaanza mpaka mjengoni za kummisi JK na kila sifa nzuri akapewa na walewale waliokua wanambeza, wanamkebehi na kumtukana.
Leo hii baada ya Mwamba kutangulia mbele za haki walewale waliokua wanambeza, wanamkebehi na kumtukana JPM ndio haohao wamekua wapiga zumari wa kumsifia na kumuona yeye ndie alikua haswa mkombozi wa hii nchi, wamegeukia upande wa pili kumtukana na kumsimanga Mama pamoja na viongozi waliopita wa awamu ya nne.
Mimi ninachosema Mama aendelee tu kuupiga mwingi asisikilize kelele za chura maana chura akiwa majini analalamika maji ni ya baridi sana halafu pia ni machafu yanamsababishia ngozi yake kushambuliwa na wadudu ndio maana mwili wake unapata mabaka mabaka,
Chura huyohuyo akiwa nchi kavu pia analalamika nchi kavu jua ni kali sana linamchoma mpaka ngozi yake inababuka na mwili wake wote unajaa mabaka mabaka.
Jiwe hakuwa aina ya diktekta tumtakaye. Jiwe alikuwa ni ibilisi shetani ndani ya mwili wa kibinadamu.
Angekuwa diktekta tumtakaye,asingekuwa na haja ya kufanya aliyoyafanya kwenye "uchafuzi" wa serikali za mitaa na "uchafuzi mkuu".
 
Hakuna utofaiti na vyama confine, ni act peke yake bado sijajua au sijaona undumilakuwili wake. Lkn chadema wasiongee kabisaaaa,.....walishangilia lowassa alivyoitwa fisadi, wakashangilia na kudeki barabara alipokinunua chadema. Tena km kuna chama chafaa kuogopwa ni chadema......Kwa unafiki hapo ndo nyumbani

Hii Mada iko juu ya uwezo wako,

kuna mahali pameandikwa Chadema , au mihemuko ya Kishamba inakusumbua.
 
Operesheni rejesha wahuni, hahaaa hiki chama bana , waliowaponda sasa wanawasifia, kimsingi wanakua kama benderra tuuuuuu fuata upepo hakuna wanachokiamini hawa. Mtu akifukuzwa wanashangilia, akirudishwa wanashangilia, wakimwita muhuni msaliti, wanashangilia heeeeeeeeeeeeee , sasa hawa wanaamini kwenye nini?
Kuielewa akili ya hawa watu ni kazi sana,wacha Ccm iendelee.
 
Huyu CHAWA inabidi aihame nchi hii!!! Hawezi kuwa na Amani especially kama mali zake zitauzwa ili amlipe Membe!! Waswahili wanasema AMEANGUKIA CHOONI!!!
Alilindwa sana na Kayafa😁😁😁
MR2NL.jpeg
 
Hii Mada iko juu ya uwezo wako,

kuna mahali pameandikwa Chadema , au mihemuko ya Kishamba inakusumbua.
Kwani lazima iandikwe ili nami ndo niandike?!!!! Mi nimeandika mimi km mimi kwa ninavyoifahamu siasa na vyama tulivyonavyo......hilo nina uwezo na uhuru wa kulisema popote ninapotaka.

Mi huwa sivumilii vipost vya kitoto vya watu wazima wanaojificha katika mkaranga eti wasionekane!

Km gharama ya kusema ukweli ni kuitwa tu mshamba, basi hata niitwe mara billion moja bado uzito wake utakuwa mwepesi ukilinganishwa na uzito wa ukweli huu.

Hata hivyo, nikiirejea tafsiri yangu mimi ya ushamba, naona wewe ni extraordinary katika hilo!
 
Maana Inachekesha
Dhana Haichekeshi
Lakini....Aiseeeee!
Ndii uhuru wa habari kejeli, za misimango, utwana n.k Aiseeee Wamerudi
 
Hujui hata kuwa Kinana ni MSOMALI?
Ngoja tukufamishe basi KUWA huyu Kinana alipokuwa katibu Mkuu wa ccm kwa kushirikiana na rafiki yake Kimbisa ndiyo waliouza mashine za kupiga chapa za magazeti ya Uhuru na Mzalendo. Akiwa katibu mkuu wafanya kazi wa magazeti hayo ya ccm walikuwa na malimbikizo ya mishahara kwani walikuwa hawalipwi kwa wakati!!
Sasa watu wa magazeti ya uhuru unawalipa kwa kazi gani?

Kuuza hizo mashine walifanya jambo la maana sana kwa Taifa, walichokosoea ni kutokulifuta kabisa hilo gazeti la kipuuzi kabisa.
 
Sasa watu wa magazeti ya uhuru unawalipa kwa kazi gani?

Kuuza hizo mashine walifanya jambo la maana sana kwa Taifa, walichokosoea ni kutokulifuta kabisa hilo gazeti la kipuuzi kabisa.
We jamaa ni confused.com

Hata hujui unasimamia nini kwenye maswala ya siasa.

Leo utapinga vyombo vya propaganda vya CCM

Kesho unatetea uongozi wa CCM uliopo (walau umeshapata akili ya kuelewa viongozi wa CDM ni wasanii).

Tatizo lako ni mtu wa tumbo, system iliyopo umegundua ndio inakufaa.

Sasa badala ya kuwaada waliodhani wewe ni mwana CDM kuwa muwazi “ukipenda chongo, usiite kengeza” kimya.

Wewe ni CCM muhimu at heart ni kuwaeleza hao bogus CDM members hakuna chama pale, acha kuendelea na usanii wako.
 
Sisi wengine tushakubali matokeo kilichobaki ni kumfuata mzee baba (J.K) kuomba msamaha yaishe; jamaa wanaojiita wazalendo ni useless wanachojua ni hadithi tu.
 
Sisi wengine tushakubali matokeo kilichobaki ni kumfuata mzee baba (J.K) kuomba msamaha yaishe; jamaa wanaojiita wazalendo ni useless wanachojua ni hadithi tu.
"Pole" ni yetu sote mkuu.

Sasa tena sijui hawa "Wazalendo" tuwachukukieje!

Akina YEHODAYA na wengine walikuwa huku hawasikilizi la mtu, mara hii huwasikii tena, sijui wamepotelea wapi?

Nadhani kuna umuhimu wa kuwatafuta humu JF kwa michango yao enzi zile, na kuwasuta nayo.

Nikijaaliwa kumpata 'intern' wa kunifanyia kazi hiyo hapa JF, nitawaorodhesha wote.

Na wale waliokuwa wakivimbavimba kule ndani ya chama? Sijui wapo wapi. Wanajulikana?
 
“Power is the ability to make someone do something otherwise he wouldn’t do”

Una raisi mwenye power ya kuteua anaetaka.

Ana mshauri mwenye power ya kumpangia nini cha kufanya na amweke nani wapi for power concentration purposes kwa sababu anajua how the party works.

Elewa mpaka hapo TISS ni chombo cha ovyo tu.

Sasa wewe nani ubishane na powerful people.

Mzee baba ni mtu wa kusamehe vijana ambao angeweza waumiza ata chini ya Magufuli mifano ya wajuaji ni mingi, kawaacha tu wengine ni mawaziri leo.

Binafsi nimeamua kujirudi mapema, me love J.K just like before; mapepo tu yalinipitia.

Pana wasaa kubali yaishe, that’s life.

Kwa sasa alieshika mpini nani lipo wazi, hii ngoma bila ya kudra za mwenyezi mungu ni mpaka 2040 ili kuwa na mabadiliko my chances of being alive and witnessing those changes are slim.

Why bother then, mzee wa Msoga kaonyesha kufanya kosa sio kurudia kosa ndio kosa.

Na mimi ni nani nisijirudi kwa mzee baba; yaishe. To hell na wazalendo uchwara.
 
Kuelewa mbongo anataka nini ni kazi kwelikweli.
Kipindi cha JK tulikua tunamponda na kumtukana kwelikweli, majina yote ya hovyohovyo tukampachika tukafikia mpaka kutamani siku moja nchi yetu itawaliwe kidikteta.
Mungu si Athumani akasikia kilio chetu akatuletea Jiwe tena Jiwe kwelikweli hacheki kabisa na kima yoyote, Wabongo tukaanza vilio na kusaga meno, tukampachika majina ya hovyohovyo lakini Mwamba alifunga macho na akaziba kabisa masikio yake.
Kelele zikaanza mpaka mjengoni za kummisi JK na kila sifa nzuri akapewa na walewale waliokua wanambeza, wanamkebehi na kumtukana.
Leo hii baada ya Mwamba kutangulia mbele za haki walewale waliokua wanambeza, wanamkebehi na kumtukana JPM ndio haohao wamekua wapiga zumari wa kumsifia na kumuona yeye ndie alikua haswa mkombozi wa hii nchi, wamegeukia upande wa pili kumtukana na kumsimanga Mama pamoja na viongozi waliopita wa awamu ya nne.
Mimi ninachosema Mama aendelee tu kuupiga mwingi asisikilize kelele za chura maana chura akiwa majini analalamika maji ni ya baridi sana halafu pia ni machafu yanamsababishia ngozi yake kushambuliwa na wadudu ndio maana mwili wake unapata mabaka mabaka,
Chura huyohuyo akiwa nchi kavu pia analalamika nchi kavu jua ni kali sana linamchoma mpaka ngozi yake inababuka na mwili wake wote unajaa mabaka mabaka.
Hadithi ya kipuuzi sana hii. Lakini najua hapo ulipo unajisikia umetoa bonge la hoja.

Mbona hujiulizi: Kwani ni lazima iwe hizo pande mbili mbovu mbovu pekee?

Tanzania haiwezi kuwa na uongozi usiokuwa na 'excesses' hizo unazozitumia hapa kuhalalisha uozo mwingine ulioingia kwa mlango wa uani?

Waache waTanzania wachague viongozi wanaowataka wao, bila ya hizi janjajanja zinazosukwa sasa. Hao watakaochaguliwa wakiboronga, rudi hapa uwasute waTanzania kama ulivyofanya hapa bila ya kutumia akili yako sawasawa.
 
“Power is the ability to make someone do something otherwise he wouldn’t do”

Una raisi mwenye power ya kuteua anaetaka.

Ana mshauri mwenye power ya kumpangia nini cha kufanya na amweke nani wapi to for power concentration purposes kwa sababu anajua how the party works.

Elewa mpaka hapo TISS ni chombo cha ovyo tu.

Sasa wewe nani ubishane na powerful people.

Mzee baba ni mtu wa kusamehe vijana ambao angeweza waumiza ata chini ya Magufuli mifano ya wajuaji ni mingi, kawaacha tu wengine ni mawaziri.

Binafsi nimeamua kujirudi mapema, me love J.K just like before; mapepo tu yalinipitia.

Pana wasaa kubali yaishe, that’s life.

Kwa sasa alieshika mpini nani lipo wazi, hii ngoma bila ya kudra za mwenyezi mungu ni mpaka 2040 ili kuwa na mabadiliko my chances of being of being alive and witnessing those are slim.

Why bother then, mzee wa Msoga kaonyesha kufanya kosa sio kurudia kosa ndio kosa.

Na mimi ni nani nisijirudi kwa mzee baba; yaishe. To hell na wazalendo uchwara.
Huyo ni wewe.

We say, you ain't seen nothing yet! Mapambano ndio kwanza yanaanza.

Tanzania is too precious to give up on her. Heck NO!

Aluta continua.
At least you can help out, by not giving your soul to the devil. Just sit tight and watch the new Tanzania unveil right before your eyes before you leave this land, as you have predicted.
 
Kinasema...

'Wamerudi Aiseeee"

Tafadhali wale Wabobezi na Wanazuoni wa Lugha adhimu ya Kiswahili tunaomba mje hapa mtuelimisha maana na dhana pana na Neno 'Wamerudi' halafu hapo hapo tena Mtu anasema Neno 'Aiseeee' katika kumalizia.

Karibuni.

View attachment 2171488
Kwisha kazi...sie wengine mtupe orodha ya watakaotaka ardhi ipasuke waingie....then muendelee na hoja zenu...

Namuona jamaa mmj alihamia chama la Wana anataka azame
 
Huyo ni wewe.

We say, you ain't seen nothing yet! Mapambano ndio kwanza yanaanza.

Tanzania is too precious to give up on her. Heck NO!

Aluta continua.
At least you can help out, by not giving your soul to the devil. Just sit tight and watch the new Tanzania unveil right before your eyes before you leave this land, as you have predicted.
All the best in your battles; kwangu mimi tawile baba J.K nimekubali yaishe

Binafsi I saw it coming na 'samaki mkunje ungali mmbichi' all the elements of what was going to happen where there and nothing was done; mpaka watu wameteka njia za madaraka sasa kuna nini tena cha kupigania.

Ni usalama wa taifa usio na vision ya nchi, sasa kama walizi wa nchi ni watu wapuuzi; sisi ni hakina nani kupambana na watu wenye power za katiba na access na raisi wa nchi.

Good luck kama mna mbinu

Dedication

The run away train

Poem by "Vermon Dalhart'

'Twas in the year of '89, on that old Chicago line,
When the winter wind was blowing shrill,
The rails were froze, the wheels were cold,
And then the air brakes wouldn't hold,
And number nine came roaring down the hill.

Oh, the runaway train came down the track and she blew,
The runaway train came down the track and she blew,
The runaway train came down the track,
The whistle wide and the throttle back
And she blew

Oh, the engineer said the train must halt and she blew,
The engineer said the train must halt and she blew,
The engineer said the train must halt,
He said it was all the fireman's fault
And she blewew blew, blew, blew

Oh, the fireman said he rang the bell and she blew,
The fireman said he rang the bell and she blew,
The fireman said he rang the bell,
The engineer said ya did like -----
And she blew

Oh, the porter got an awful fright and she blew,
The porter got an awful fright and she blew,
The porter got an awful fright,
He got so scared that he turned white,
And she blew

Oh, a drummer sat in the parlour car and she blew,
A drummer sat in the parlour car and she blew,
A drummer sat in the parlour car,
And he nearly swallered a fat cigar,
And she blewew blew, blew, blew,

Oh, the runaway train went over the hill and she blew,
The runaway train went over the hill and she blew,
The runaway train went over the hill,
And the last we heard, she was goin' still
And she blewew blew, blew, blew..

..........................................................

Good Morning
 
Ni usalama wa taifa usio na vision ya nchi, sasa kama walizi wa nchi ni watu wapuuzi; sisi ni hakina nani kupambana na watu wenye power za katiba na access na raisi wa nchi.
Don't underestimate the power of the Tanzanian masses.
We're reaching the tipping point, just keep paying attention lest you miss it, because it is going to happen very fastfor you to noyice if you're not paying close attention.

Please, get out of that stupor.
 
I am good it’s you who ought to come to your senses and face the real world.

Tanzania is not an established class society as yet which has a strong sustainable middle class; this is not 30:30:40 society.

A majority of us come from poor families, of those a bunch manage to escape poverty but still sorrounded by many ignorant family members and very poor neighbours.

Just look at the stats on the percentage of university graduates from the group which started standard one together.

Look at the life chances available and so on to do with development possibilities.

Your conclusion would be, currently those who had opportunity in life are responsible to fight for the welfare of the misfortunes majority (that is if they care).

Watanzania hawajui rights zao ata zilizopo kwenye katiba iliyopo leo ya kijamaa.

Niamini hii katiba yetu ya 1977 ukitoa matatizo ya mamlaka ya raisi; tungekuwa na constitutional lawyers wa maana kwa katiba hii hii mfano sijui kama mnajua Muhimbili hospital kila mtu ana haki ya kulala na kupata matibabu anayopewa kiongozi yeyote (taasisi za kutoa huduma za serikali azitakiwi kuweka vigezo vya kumfanya mtanzania mwingine apate huduma hafifu zaidi ya mwingine hiyo ni kwa mujibu wa katiba ya 1977).

Ndio mjue katiba yetu hairuhusu sheria kuweka criteria’s kwenye huduma za jamii zitakazo mfanya mtanzania mwingine apate huduma ya kwa vigezo vya uwezo; maana yake serikali inatakiwa hii fund hizo huduma.

Wengi wenu amjaisoma hiyo katiba ya 1977 ilivyo ya kijamaa kwenye right za wananchi mkaielewa. mnapiga kelele tu za katiba mpya kwa kuwasikiliza vilaza wa Twitter.

Anyway kama nilivyokwambia mimi nimekubali yaishe na mzee baba. Siasa ina aspect zake na somo la kuelewa power ni moja wapo kwenye siasa. Sasa ukishaelewa what is power kubishana na walioushika mpini wa shoka ni uwendawazimu.

Yaliyobaki ni vita vyenu.

Tafuta post zangu nikiandika kuna mtu anaamini yeye alikuwa best na anatamani system yake irudi,kabla ya watu kustikia.

Sasa kwanini niwe mjinga wa kutokuomba msamaha yaishe kwa nchi yenye system ya watu wapumbavu kama TISS kuacha mpaka yanatokea.
 
We jamaa ni confused.com

Hata hujui unasimamia nini kwenye maswala ya siasa.

Leo utapinga vyombo vya propaganda vya CCM

Kesho unatetea uongozi wa CCM uliopo (walau umeshapata akili ya kuelewa viongozi wa CDM ni wasanii).

Tatizo lako ni mtu wa tumbo, system iliyopo umegundua ndio inakufaa.

Sasa badala ya kuwaada waliodhani wewe ni mwana CDM kuwa muwazi “ukipenda chongo, usiite kengeza” kimya.

Wewe ni CCM muhimu at heart ni kuwaeleza hao bogus CDM members hakuna chama pale, acha kuendelea na usanii wako.
Nilidhani niliyekuwa nikimuona kuwa ni Psychopath Case nipo peke yangu tu hapa Jamiiforums kumbe hata Wewe umeshamgundua? Heko Mkuu....!!!
 
Back
Top Bottom