Kwa kichwa cha habari cha gazeti la MWANANCHI la leo Aprili 1, 2022 unajifunza na kugundua nini?

Kwa kichwa cha habari cha gazeti la MWANANCHI la leo Aprili 1, 2022 unajifunza na kugundua nini?

Huu ushuzi wako unajambia ukiwa wapi? Bunda, Mugumu au Serengeti?

Kweli nimeamini wendawazini wanaookota makopo ndio uona watu wenye akili timamu na nadhifu kwamba ndio wendawazimu.
Nakazia
 
Doctor huyu mgonjwa wako umesahau kumpatia dozi yake leo, fungus zimepanda kwenye ubongo anahalisha tu.
😂😂😂🤣 Something is missing in his head. Ila u bushman ndio unamsumbua
 
Kuna kipi ambacho kipo Chadema hawezi pata CCM? In terms of maslahi?
Mbowe ana akili kubwa hawezi kukubali kugeuzwa toilet paper.

Toilet paper ukimaliza kuchambia kinachofuata ni kuiflash kwenye choo.

Ndio sababu hata Zitto anaitumikia ccm pasipokuhamia moja kwa moja anakuwa safe na anakuwa na uhakika wa maslahi ya muda mrefu.

Hivi mtu kama Albert Msando ni wa kuwa mkuu wa wilaya kweli? Si wanamdhalilisha tu?
 
Tanzania Nchi yangu Nzuri na Watu Wapole sana lakini ina mkosi wa kupata Vingozi thabiti. Bandarini vurugu, MSD Vurugu, TANESCO vurugu yaaaani kila Shirika la Umma linavurugwa tuuuu na

sidhan kama kuna nia njema tena na Maslahi ya Taifa hili.
Usalama ndio hao wamekuwa wapambe wa watawala, kupanga njama za kuwadhuru waoikosoa serekale, wanakuwa wapambe kwa kina bashite, kuumiza kina lissu , funga mbowe, vunja billicanas, sambaratisha cuf maalim seifu, nunua wapinzani yaani usalama ikajikita kwenye komoakomoa sahau hata misingi...ombwe ombwe
 
Halafu kenyewe kanavyojifanya kajuwaji sasa, yani huwa nabaki nashindwa kushangaa.
Ana ujanja wa kibushman ule tulio kuwaga tunausoma kwenye mafumbo shule ya Msingi mfano " Kuna mlinzi analinda geti ambalo lipo wazi. Watu wa upande Huu hawaruhusiwi kuvuka na watu wa upande ule hawaruhusiwi kuvuka. Mlinzi anasinzia Kila baada ya dakika Tano Kwa dakika tatu. Akikuta umevuka geti anakurudisha ulipo toka. Je utafanyaje ili uweze kuvuka upande wa pili. Basi jibu lake utamvizia mlinzi akiwa amelala halafu utavuka upande wa pili ambao ndio unataka kwenda halafu utajifanya kama unakuja upande ambao unatoka. Mlinzi akiamka atakurudisha huko unakotoka ambako ndiko haswa ulipo kuwa unataka kwenda" Sasa huyu GENTAMYCINE ndio ana ujanja wa hivyo . Ujanja wa kibushman
 
Anyway kama nilivyokwambia mimi nimekubali yaishe na mzee baba. Siasa ina aspect zake na somo la kuelewa power ni moja wapo kwenye siasa. Sasa ukishaelewa what is power kubishana na walioushika mpini wa shoka ni uwendawazimu.
That was an unnecessary meaningless jabbering.
Suffice to say "Kaa pembeni, ni ujinga wako. Usitake na wengine wakubali ujinga huo."
 
Ukimuuliza Musiba na Ally Hapi watakupa majibu mujarabu na wanajisikiaje saa hizi.

Ni heri ya kuwa ma viongozi watoto wa mjini kuliko kuongozwa na washamba.

Tawala zote tumeziishi, ogopa mtu anayetaka watu wawe maskini yeye peke yake ndio awe na pesa, halafu kuna wajinga wakaaminishwa kuitwa wanyonge na maskini ndio sifa na uzalendo.

Hawa hawa ndio wanafaa, acha malalamiko, jipange kwenye channel, tengeneza connection na wewe ule mema ya nchi.
Mbuzi jike wewe!
 
Nimeliwa nini? Hao ma CCM yamekuibia Kodi Yako kwa miaka 60 nani mjinga kati yetu?
Wamenisomesha,wamenitibu,nasafiri toka mtwara Hadi bukoba kwenye barabara ya lami,sihofii mabomu Wala risasi nchi Ina amani
 
Wamenisomesha,wamenitibu,nasafiri toka mtwara Hadi bukoba kwenye barabara ya lami,sihofii mabomu Wala risasi nchi Ina amani
Kumbe kama barabara zimejengwa basi ni ruksa kufanya ufisadi eeh?? Sasa unaongelea ufisadi wa Mbowe wa nini if at all it doesn't matter as long as barabara zipo?

Akili za CCM bwana
 
Kumbe kama barabara zimejengwa basi ni ruksa kufanya ufisadi eeh?? Sasa unaongelea ufisadi wa Mbowe wa nini if at all it doesn't matter as long as barabara zipo?

Akili za CCM bwana
Wewe mwendawazimu,Kama mlivyo wengi wenu
 
Back
Top Bottom