Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Huyo ni kada wa CCM at heart, mpaka waguswe maslahi yao ndio utawajua.Nilidhani niliyekuwa nikimuona kuwa ni Psychopath Case nipo peke yangu tu hapa Jamiiforums kumbe hata Wewe umeshamgundua? Heko Mkuu....!!!
Kipindi cha J.K walikuwa wanajifanya wanataka mabadiliko na kujivika uchadema; tatizo lenyewe haya mabadiliko walikuwa awajui yanafananaje.
Magufuli akawaonyesha mabadiliko yenyewe yapoje hawana hamuu nae.
Sasa kawa ‘confused.com’ pana wasaa anajisahau anasherekea CCM ya Samia yenye faida kwake. Tatizo kuna wakati anakumbuka anatakiwa kuwa CDM J.F
Huyo Matola ni mtu ovyo kweli