Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Huyo ni kada wa CCM at heart, mpaka waguswe maslahi yao ndio utawajua.Nilidhani niliyekuwa nikimuona kuwa ni Psychopath Case nipo peke yangu tu hapa Jamiiforums kumbe hata Wewe umeshamgundua? Heko Mkuu....!!!
Itakuwa unatafuta basha siyo bure, ni lini nimejitambulisha kwamba mimi ni Chadema au CCM? Pumbavu kabisa.We jamaa ni confused.com
Hata hujui unasimamia nini kwenye maswala ya siasa.
Leo utapinga vyombo vya propaganda vya CCM
Kesho unatetea uongozi wa CCM uliopo (walau umeshapata akili ya kuelewa viongozi wa CDM ni wasanii).
Tatizo lako ni mtu wa tumbo, system iliyopo umegundua ndio inakufaa.
Sasa badala ya kuwaada waliodhani wewe ni mwana CDM kuwa muwazi โukipenda chongo, usiite kengezaโ kimya.
Wewe ni CCM muhimu at heart ni kuwaeleza hao bogus CDM members hakuna chama pale, acha kuendelea na usanii wako.
Huu ushuzi wako unajambia ukiwa wapi? Bunda, Mugumu au Serengeti?Nilidhani niliyekuwa nikimuona kuwa ni Psychopath Case nipo peke yangu tu hapa Jamiiforums kumbe hata Wewe umeshamgundua? Heko Mkuu....!!!
Bora ungekaa kimya kwa veterans wa JF wanaojua michango yako ya awali umewadhihirishia umma ni mtu wa aina gani kuikana CDM leo ya kuwa ufungumani na upande wa siasa.Itakuwa unatafuta basha siyo bure, ni lini nimejitambulisha kwamba mimi ni Chadema au CCM? Pumbavu kabisa.
JF siyo ya Chadema na CCM ni ya watu wote, akili za partisan ndio zimefanya mmekuwa na ulemavu wa akili na uzezeta.
Lete ushahidi hapa wa thread au post yoyote ambayo mimi nimewahi kujitambulisha ni Chadema au CCM tangu 2010 niliporegister ID hii.Bora ungekaa kimya kwa veterans wa JF wanaojua michango yako ya awali umewadhihirishia umma ni mtu wa aina gani kuikana CDM leo ya kuwa ufungumani na upande wa siasa.
Shibe mwana malevya njaa mwana malegeza. Ni Tanzania tu watu kama nyie mnaweza itwa watoto wakiume.
Yaani unakuta mtu awezi simamia kile anachoamini kwa kuendekeza njaa halafu anaitwa mwanaume Tanzania. Sasa ukipelekwa jela inakuwaje?
Nitaheshimu uhuru wako wa kuchagua upande ni haki yako kutoka chama kimoja kwenda kingine ukiona mambo ovyo.
Lakini usikane upande wako wa awali una thread kibao za awali ulizoanzisha kujifanya anti fisadiโs na kufungamana na matendo ya kigaidi.
Lete ushahidi hapa wa thread au post yoyote ambayo mimi nimewahi kujitambulisha ni Chadema au CCM tangu 2010 niliporegister ID hii.
Otherwise shut up, kama ulidhani unanijuwa, haunijui.
Hata Wewe hapo ulipo unaweza Kuliweka kwani hujazuiwa kufanya hivyo au kama ungekuwa na Akili sawa sawa kama huiamini hii Taarifa basi huu muda wako ulioupoteza Kuniandikia hivi ungeitumia kwenda Mitandaoni katika Kurasa za Magazeti ya Leo ili Ujiridhishe nayo.
Mbona unapenda kudhibitisha ujinga wako mbele ya hadhira?!, wewe unafkiri watu woote ni wapuuzi na wajinga kama wewe?!, mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia wezi na waporaji kupewa dhamana,labda awe mjinga na zumbukuku kama wewe,Ukimuuliza Musiba na Ally Hapi watakupa majibu mujarabu na wanajisikiaje saa hizi.
Ni heri ya kuwa ma viongozi watoto wa mjini kuliko kuongozwa na washamba.
Tawala zote tumeziishi, ogopa mtu anayetaka watu wawe maskini yeye peke yake ndio awe na pesa, halafu kuna wajinga wakaaminishwa kuitwa wanyonge na maskini ndio sifa na uzalendo.
Hawa hawa ndio wanafaa, acha malalamiko, jipange kwenye channel, tengeneza connection na wewe ule mema ya nchi.
Ukweli ni kwamba Watanzania wachache sana na wanaoipenda inchi yao zaidi ya Nyerere na Freeman Mbowe,Wengine wote wako kimaslai zaidi,
Nimekwambia lete ushahidi wa mimi kuwa Chadema.Chadema Yafunika Houston Texas, Linda Bezuidenhout aendelea kumake Headlines!!
Yaani wee acha, yule dada ambaye ukimchanja kiwembe basi damu yake ni Chadema tupu. LB ameweka headline nyingine USA na nguo za uzinduzi wa tawi la Chadema Houston TX. Nguo zimejaa rangi nyekundu zikimaanisha damu za wanyonge na za Chadema zilizomwagika. Wanyonge ni watu Kama wamama wazazi...www.jamiiforums.com
Thatโs how stupid you are naweza kukuteremshia list ya thread zako.
Hakuna shida kuama upande ni haki yako ukiona jamaa misimamo yao ya siasa ukubaliani nayo.
But me a man, acha kuendekeza njaa.
๐๐๐Nimekwambia lete ushahidi wa mimi kuwa Chadema.
Sheikh Ponda alitangaza kura za Urais apewe Tundu Lisu haina maana Sheikh Ponda ni Chadema, huu ni ujinga unapaswa kuufuta kichwani mwako.
Kusuport movement haina maana wewe uko chamani bali unakubaliana na kile kinachofanyika.
Bob Makani RIP akiwa mwenyekiti wa Chadema nadhani mara mbili aneisapoti Cuf kwenye nafasi ya Urais.
Tundu Lisu alikuwa anaisapoti Chadema kwenye majukwaa mbalimbali mpaka dakika za mwisho ndio wakastuka kumbe Tundu Lisu siyo Chadema na waka siyo mwanachama hana kadi bali ametafuta jukwaa la kufanya kile anataka kufanya, Lisu alikuwa na kadi ya Nccr Mageuzi.
Juma Duni Haji amekuwa mgombea mwenza wa Lowasa kupitia Chadema lakini kila mtu anajuwa wazi Juma Duni Haji ni Cuf, ipo kwenye damu.
Wajinga kama wewe ndio hamuwezi kuyajuwa haya.
Je ni nini kimekushangaza?
Hivi unajuwa wewe dish limeyumba? Hivi unajuwa tofauti ya kuunga mkono movement na uanachama wa chama siasa?๐๐๐
View attachment 2172653
Zitto Kabwe ndani ya Makutano Show: Adai Urais, mabilioni ya Uswisi vinammaliza
Hanna kitu ambacho najivunia maishani mwangu kama kuwa mwanachama wa CDM baada ya kuisoma na kuielewa katiba yake. That was back 2008. Allah nashukuru kwa kunipa ufahamu huo.www.jamiiforums.com
Your post from the above thread โ๏ธโ๏ธโ๏ธ
Sina shida na wewe kuama upande mtu yeyote timamu awezi ongozwa na Mbowe.
Lakini njaa ndio inawasumbua humu ndani ya J.F wana CDM wasioyumba ni wawili tu wengine wote Magufuli aliwavuruga mpaka leo akili zao haziko sawa awajui wanasimamia nini.
Una thousands of post humu so quit with the nonsense.
Ndio maana huwa tunawaambia kila siku usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili. Sio wajinga wajinga kama nyie.
Kiazi kama wewe utaweza kweli kufanya analysis ukipewa information for national security purposes.
Itโs called intelligence for reasons. Ni mchezo wa watu wenye akili kweli awatanii huko kwa wazungu.
Angeshaenda CCM awe waziriKwahiyo Mbowe ndio hayupo kimaslahi?
Mbowe licha ya misukosuko yote na magumu anayopitia lakini maslahi yake yapo Chadema.Angeshaenda CCM awe waziri
Yeah,ni cash cow yakeMbowe licha ya misukosuko yote na magumu anayopitia lakini maslahi yake yapo Chadema.
Kuna kipi ambacho kipo Chadema hawezi pata CCM? In terms of maslahi?Mbowe licha ya misukosuko yote na magumu anayopitia lakini maslahi yake yapo Chadema.
Alikua ana Hela before chadema!!Yeah,ni cash cow yake
Mjinga ndiye uliwaeAlikua ana Hela before chadema!!
Cashcow ni biashara zake ambazo zingekua secured kma angekua CCM so upinzani anapoteza zaidi kuliko anavyopata.
Ukimuuliza Musiba na Ally Hapi watakupa majibu mujarabu na wanajisikiaje saa hizi.
Ni heri ya kuwa ma viongozi watoto wa mjini kuliko kuongozwa na washamba.
Tawala zote tumeziishi, ogopa mtu anayetaka watu wawe maskini yeye peke yake ndio awe na pesa, halafu kuna wajinga wakaaminishwa kuitwa wanyonge na maskini ndio sifa na uzalendo.
Hawa hawa ndio wanafaa, acha malalamiko, jipange kwenye channel, tengeneza connection na wewe ule mema ya nchi.