Hivi unaandika hivi ukiwa timamu (sober?). Kwa hivyo wanaotumia Kichina, Kifasransa au Kirusi hakuna mtu wa kuwasikiliza?Kwendo kusoma hotuba kiswahili ITU na kutegemea kuna watu wanakusikiliza ni sawa na kulinganisha Tsh & Dollar.
Kwa akili yako timamu unafikiria kiswahili kinaweza kutumika ku address issue serious nje ya Tanzania?? Putin anafahamu Kiingereza na Kijerumani ila hata sikumoja hawezi kwenda kutoa hotuba kwa lugha hizo kwa sababu anauhakika ni lazima wafanya maamuzi wamsikilize katika lugha yake ya Kirusi na watafsiri kwa lugha watakazoelewa kwa maana anayoongea yana TIJA. Sasa unategemea Hotuba yenye TIJA kutoka kwa mtu ambaye bado nchi yake inakopa pesa ijenge vyoo vya shule? ni dhahiri changamoto zake bado ni za zama za mawe hana mchango wa maana kwenye ulimwengu wenye changamoto za dunia ya kwanza?? Tuwe seriousHivi unaandika hivi ukiwa timamu (sober?). Kwa hivyo wanaotumia Kichina, Kifasransa au Kirusi hakuna mtu wa kuwasikiliza?
Utakuwa kama yule asiyeona; siku moja akaona mkonga wa tembo. Bango la Jamii forum wenyewe wameandika: " Jamii forum. Home of the Great Thinkers" Na hii haikuandikwa kwa bahati mbaya. Wenyewe wanamaanisha hasa.
[emoji23][emoji23][emoji23] Sasa unategemea niniapo mkuu.Huu mwandiko wa Nape Kabisa!
Wewee mkaldayo don't follow follow me without because. You cant me am another.I think, I thought, I don't give a rat's tit, fuk the world the goverment too. Collteral damage. You plasphemy, I am faded mkaldayo wewe ni mbusii. Take me out this ditch biaaatch Maghayo
Wewe ni mbusiiii. Nikule ribs mutton au biriani masala. MbusiiiWewee mkaldayo don't follow follow me without because. You cant me am another.
Usifananishe lugha hizo na Kiswahili. Wenye lugha hizo wamezifanyia kazi kubwa, kiasi hakuna kitabu kilichoko katika Kiingereza usikute tafsiri yake kwenye Kifaransa, Kichina, Kiarabu, Kiajemi, Kihispaniola nk. Sisi, kwa uvivu wetu hatuna hata vitabu vya maana 1,000 twataka tutumie Kiswahili! Kama kawaida yetu, twataka kuvuna kabla ya kupanda!Hivi unaandika hivi ukiwa timamu (sober?). Kwa hivyo wanaotumia Kichina, Kifasransa au Kirusi hakuna mtu wa kuwasikiliza?
Utakuwa kama yule asiyeona; siku moja akaona mkonga wa tembo. Bango la Jamii forum wenyewe wameandika: " Jamii forum. Home of the Great Thinkers" Na hii haikuandikwa kwa bahati mbaya. Wenyewe wanamaanisha hasa.
Acha excuses. Basi someni kwa Kiswahili kitupu!Kiingereza siyo lugha yetu, kwahiyo mi sioni ajabu...Si Kila jambo la kukomalia. Hata hao wazungu wenyewe viingereza vyao vina shombo kama sisi kama siyo lugha Yao ya asili
Hili ni bango la wizara kwa lugha ile............tuanzie hapo mleta mada, onyesha utata wa kisarufi, kimuundo na kimantiki.Hiki ndio Kiingereza cha Serikali ya CCM kikiuandikia ulimwengu.
Tumlaumu Waziri au Mwandishi?
Si lugha ya serikali ni kiswahili, amejitutumua akasahau kwamba lugha ya kiingereza ni ngumu. Form four alipata division ngapiHiki ndio Kiingereza cha Serikali ya CCM kikiuandikia ulimwengu.
Tumlaumu Waziri au Mwandishi?
Si lugha ya serikali ni kiswahili, amejitutumua akasahau kwamba lugha ya kiingereza ni ngumu. Form four alipata division ngapi